Mwanatheologia
Member
- Oct 20, 2019
- 7
- 43
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache sana. Kama kuna ubunifu unahitajika basi tutumie kuvutia mashirika ya ndege kuwa na safari.
Jambo jingine kwa Air Tanzania ni muhimu kuboresha huduma kwa kuajiri watu exposed. Ni Aibu chooni kukuta Toilet paper ndio tissue ya kufutia mikono baada ya kunawa. Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini