Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu vya ndege utatamani kulia machozi

Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu vya ndege utatamani kulia machozi

Mkuu andaa andiko lako kikiwa na codes Ili uwapelekee wakisoma wavutiwe wakupe kazi uanze kutatua changamoto Moja baada ya nyingine
 
Kiwanja chetu pia kina kodi kubwa kwa ndege kama ilivyo KIA ndio maana ndege nyingi zinatua na wageni Kenyatta na wanaenda kuchukuliwa na Coaster nadhani badala ya kutumia pesa nyingi kwenye kutangaza utalii wangepunguza hizi kodi ili ndege kubwa zitue hapo KIA za kumwaga sio kama ilivyo sasa ila Watanganyika wanataka kodi harafu wanatumia mabilioni kujitangaza kumbe ukitoa baadhi ya kodi utazipata wakija Wageni ni vile tumedumaa..
 
Mkuu andaa andiko lako kikiwa na codes Ili uwapelekee wakisoma wavutiwe wakupe kazi uanze kutatua changamoto Moja baada ya nyingine
Inabidi iwe hivyo, kama hawajui tofauti ya paper towel na toilet paper, kazi ipo!
 
Shida ni mashirika kujaza ndege au wasafiri? Maana mashirika yasije kujaza ndege hapo air port halaf nyny watanzania munaogopa kusafir, me nadhan siku wasafiri/watalii wakiwa wengi na ndege zitakuwa nying ili kuendana na kasi ya watu,
Umeongea point mfano mzuri mtu huwezi fungua bank ya CRDB jangwani au mahali watu kipato chao ni cha manati kama yule mwenda zake alivyofanya.Issue ingine kuna kitu kinaitwa Hub mfano kwa nchi za kusini mwa ikweta Africa Oliver Tambo ya Africa kusini,Nairobi na Bole airport ya Ethiopia ni hub.
 
Back
Top Bottom