gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka miaka ile ya 90 nilikuwa naenda airport dar kuangalia midege ya KLM, BA,SWISS Air, SABENA nk. Sijui kama yote yanakujaUkitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache sana. Kama kuna ubunifu unahitajika basi tutumie kuvutia mashirika ya ndege kuwa na safari.
Jambo jingine kwa Air Tanzania ni muhimu kuboresha huduma kwa kuajiri watu exposed. Ni Aibu chooni kukuta Toilet paper ndio tissue ya kufutia mikono baada ya kunawa. Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini
Safi, bila shaka hii ni Addis ababa
Mkuu Kenya ni conneting hub, mashirika mengi ya ndege yanatua Kenya na kuunganisha safari nyingine kwenda mahala pengine.Nenda tu hata hapa Kenya, Ethiopia, Africa ya Kusini nk
Worst in terms of what?Bole Ethiopia is the worst airport there is.
Utakuta watanzania wengi wakija toka nje ya nchi lazima wapite Kenya. Kama kuna wasafiri wa kutosha toka Nairobi kuja Dar au KIA basi tungeweza kuwa na Direct flights kama mambo yakiwekwa vizuriShida ni mashirika kujaza ndege au wasafiri? Maana mashirika yasije kujaza ndege hapo air port halaf nyny watanzania munaogopa kusafir, me nadhan siku wasafiri/watalii wakiwa wengi na ndege zitakuwa nying ili kuendana na kasi ya watu,
Songwe ipo busy? Au mimi sielewi maana ya busy?Viwanja vya ndege ambavyo kwa kiasi fulani viko busy hapa kwetu ni pamoja na JKIA, KIA, SONGWE, Z'BAR, BUKOBA, MWANZA... kwingineko pia lakini umaskini ni chanzo kikubwa cha kufanya viwanja vyetu kuwa utupu muda mwingi, na tunategemea route za nje kuliko za ndani ambazo zingeweza kuongeza route za ndege. Serikali upunguze siasa katika mambo haya.
Shida uchumi wa wananchi wa Tanzania ni mdogo katakana na wizi wa wanasiasa. Ili usafiri wa Anga uweze kuwa profitable ni lazima uchumi wa wazaqa wa nchi husika uwe vizuri. Na ili uchumi uwe vizuri laziwa nchi iwe na utawala wa sheria. Sasa hivi Tanzania hela Zina thamani kuliko kitu chochote ikiwemo mdaa. Usafiri wa anga hauwezi kuwa biashara kwenye nchi isiyo Jari mda .Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache sana. Kama kuna ubunifu unahitajika basi tutumie kuvutia mashirika ya ndege kuwa na safari.
Jambo jingine kwa Air Tanzania ni muhimu kuboresha huduma kwa kuajiri watu exposed. Ni Aibu chooni kukuta Toilet paper ndio tissue ya kufutia mikono baada ya kunawa. Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini
Uchumi uko chini, kusafiri na kusafirisha mizigo ni indicator ya ukuaji wa uchumiUkitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache sana. Kama kuna ubunifu unahitajika basi tutumie kuvutia mashirika ya ndege kuwa na safari.
Jambo jingine kwa Air Tanzania ni muhimu kuboresha huduma kwa kuajiri watu exposed. Ni Aibu chooni kukuta Toilet paper ndio tissue ya kufutia mikono baada ya kunawa. Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini
Vyoo vinanuka!Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache sana. Kama kuna ubunifu unahitajika basi tutumie kuvutia mashirika ya ndege kuwa na safari.
Jambo jingine kwa Air Tanzania ni muhimu kuboresha huduma kwa kuajiri watu exposed. Ni Aibu chooni kukuta Toilet paper ndio tissue ya kufutia mikono baada ya kunawa. Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini
🤣 🤣 🤣Tumejitahidi hebu tuache
✍️✍️👌👍🤝🙏Viongozi ni walewale miaka nenda rudi, na huwezi kutumia akili ile ile iliyoshindwa kutatua tatizo lililopo
Itakuwa Kenya.Unajaribu kulinganisha na nchi gani ulioenda Mkuu.
Kweli, ila pia bei ziwe rafiki kidogo kwa Watanzania ili waweze kuafford kusafiri na sio kutegemea tu watalii hii nadhani ingesaidia kidogo.Shida ni mashirika kujaza ndege au wasafiri? Maana mashirika yasije kujaza ndege hapo air port halaf nyny watanzania munaogopa kusafir, me nadhan siku wasafiri/watalii wakiwa wengi na ndege zitakuwa nying ili kuendana na kasi ya watu,
Kwa mshahara upiWaajiri watu wanaojua Kingereza pia kuanzia wafanya usafi hadi mameneja.