Mwanatheologia
Member
- Oct 20, 2019
- 7
- 43
. unayosema ni ya ukweli mchungu.Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache sana. Kama kuna ubunifu unahitajika basi tutumie kuvutia mashirika ya ndege kuwa na safari.
Jambo jingine kwa Air Tanzania ni muhimu kuboresha huduma kwa kuajiri watu exposed. Ni Aibu chooni kukuta Toilet paper ndio tissue ya kufutia mikono baada ya kunawa. Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini
Waajiri watu wanaojua Kingereza pia kuanzia wafanya usafi hadi mameneja.Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini
EthiopiaUnajaribu kulinganisha na nchi gani ulioenda Mkuu.
Yule mwehu aliifukuza fast jet bila sababu za msingi.Fast Jet irudi sokoni bongo.
Nenda tu hata hapa Kenya, Ethiopia, Africa ya Kusini nkUnajaribu kulinganisha na nchi gani ulioenda Mkuu.
Hao hata uchimi wanatuzidi ungelinganisha na nchi kama Uganda akishansha etcNenda tu hata hapa Kenya, Ethiopia, Africa ya Kusini nk
Viongozi ni walewale miaka nenda rudi, na huwezi kutumia akili ile ile iliyoshindwa kutatua tatizo lililopoUkitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache sana. Kama kuna ubunifu unahitajika basi tutumie kuvutia mashirika ya ndege kuwa na safari.
Jambo jingine kwa Air Tanzania ni muhimu kuboresha huduma kwa kuajiri watu exposed. Ni Aibu chooni kukuta Toilet paper ndio tissue ya kufutia mikono baada ya kunawa. Hii ni nini? Serikali iboreshe huduma kwa kuajiri watu competent. Pi kama kuna mabadiliko ya kufanya yafanywe ndege nyingi zitue nchini
Uwanja wa chato upo bize sanaUkitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.

Ethiopia