Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu vya ndege utatamani kulia machozi

Hapawezi kuwa na motisha hata serikali pesa ya nauli ya likizo inatoa kwa viwango vya mabasi kupitia muongoz wa LATRA , yaani hata wafanyakazi labda ajiongeza ndio anaweza kupanda ndege .

Kufufua sekta ya anga ni muhimu tena sana sisi tupo wengi sana , hawa TAA na TCAA wajiendesha kimatifa sasa .

Mnapeleka pesa kweny miundombinu ila wafanyakazi hamuwapeleki hata nje kusoma .
 
Which is the first country to have freedom ,btn tanzania and south africa is tanzania so tanzania must have good places than south because they have time to do all this
 
Kwa miaka miwili Sasa Zanzibar zinatua ndege nyingi kuliko viwanja vyote hapa TZ....
 
Kuna haja pia ya kuwa na viwanja vya ku support JNIA na KIA ie Mwanza Airport jengo la abiria kama banda la kuku utapata wapi ndege nyingi kwa sasa watu nchi jirani Uganda,Rwanda, DRC nk kuifikia Mwanza lazima waende Dar this is damn expensive,hakuna mtandao wa ndani effective wa njia za ndege. Macho yote Dar
 
Tanzania ina diaspora wachache sana. Nchi kama Kenya, Nigeria, Ethiopia na hata Somalia zina raia wengi sana nje ya nchi zao. Hilo linafanya hata viwanja vyao viwe bize. Tuanze labda kwa kuhakikisha tuna raia wengi wanaoenda kuhemera huko nje.
Tunahitaji uraia wa nchi mbili
 
T
Punguza chumvi free wifi ipo kote kuanzia terminal 1-3. Ila uki-connect unakuwa redirected kwenye page ya ku-sign up kwanza ndio uweze kuendelea.
Sign up yenyewe ni ya kupiga tick tu then wazungu hao wanamwagika.
Its the same as DXB na sehemu zingine lazima u-sign up kwanza ndio uendelee
 
Baada ya muda hizo wenge ulizotoka nazo huko ulaya zitaisha tu, hapa ndio nyumbani
 
Ndege zilikuwepo na safari nyingi zilikuwepo. Tatizo ni ufahamu mdogo wa uchumi na maendeleo ya watu kwa kutumia sector zote za usafiri. Wakati mwendazake ananunua hizi used planes alikuta airline zingine mbili fast jet na hii precision zikifanya vizuri sana;hasa fast-jet. Huku akitambua hawawezi kucompete kwenye free market mfano fast jet ikabidi waitengenezee zwengwe zote airline mbili sema precision kapitia wakati mgumu sana , walai hasingekuwepo.

Sasa suala linakuja kwa sasa inaonekana kupanda Ndege ni anasa. Nyingi ni hizi za air Tanzania, na mara nyingi sio reliable na kibaya zaidi bei zao ni mara tatu ya za zamani na route zao ni chache baada ya baadhi kukamatwa na nyinginekuchukua muda mrefu matengenezo. Kumbuka ilie nzuri mama ndiyo anaitumia kupigia masafa. Hivi unategemea nini.

Ifike sehemu tutatambue usafiri wa ndege unatakiwa kuwa wa kawaida kama mabasi tu;fast jet aliweza kuprove them correct na kwa expensive management ya air Tanzania wangefunga virago mwezi mmoja tu ila kwa sasa wanasaidiwa na created monopoly inayotulazimisha kuitumia upende husipenda. Ila bottom line mchnago wa usafiri wa ndege kwenye uchumi umepotea kabisa. Ni bora upande basi ni reliable na unafika salama
 
Jamaa kaandika kitu kisichokuwepo kabisa. Wamekuja watu nao hata kipawa airport pale hawajawahi fika na wamemuunga mkono.
Lets use these platforms well.
 
Nipeleke bas namm nirudi nilie kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…