Mussa werema
Senior Member
- Apr 5, 2023
- 177
- 195
Huyo ameshikwa pabaya kwelKashikwa anatupa vijembe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ameshikwa pabaya kwelKashikwa anatupa vijembe!!
Hana muda gani Mkuu?Rais hana muda huo pimbi wewe.
Kusema ukweli bila kupepesa macho watetezi wa Samia kwenye sakata la DP World ndiyo waliingiza hoja ya udini baada ya kushindwa kujibu hoja za waliokuwa wanapinga baadhi vipengele vya mkataba huu tata.
Hawa watu hutanguliza matumbo yao kuliko maslahi mapana ya TaifaVyeti feki wewe
Kawa kama mbwa kichaa, kila anayepita mbele yake anataka amng'ate,!Kashikwa anatupa vijembe!!
Hafiki, tuko pale tunaangaliaEndeleeni kumshika hivo hivo hapa ni mpaka 2030.
Kabisa Mkuu,Nyerere alisema mtu akifilisika kisiasa hukimbilia kwenye Udini na ukabila. Sasa yako dhahiri
Kweli MkuuMtu anayesema anashambuliwa kutokana na dini yake, anaanzisha udini!!
Well said Sir.Uongozi wenye mfumo wa vyama vingi unahitaji ukomavu wa kisiasa , Yani chama tawala kinataka vyama vya upinzani vifulahi mda wote kuhusu serikali,Hilo halipo,haliwezekuepo,halitakuepo ,na halitatokea .
Mpinzani siku zote ni mpinzani kikubwa viongozi wa kisiasa kueni wakomavu kisiasa
Kama wewe ndio unagawa pumzi basi sawa.Hafiki, tuko pale tunaangalia
Sasa anasikiaje wakati alitwambia kaziba masikio?Ni kweli kabisa,
Watu wanamchukulia Rais Samia kirahisi sana kwa namna ya haiba yake ya upole na kutofoka. Lakini nawahakikishia kuwa Samia ni longtimer kwenye gemu za siasa na yuko matured.
Hiyo hotuba ya juzi ndiyo mwafaka sana kwa hawa waropokaji wa majukwaani. Unawakabili vile walivyokuja.
Hapa hakuna kumpiga mtu risasi 16 wala kumyang'anya fedha zake kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Ukija kiungwana utajibiwa kiungwana. Ukija na kejeli unapigwa vijembe vile vile.
Zero brainHahahaha sasa vyeti vyangu feki vinakusumbua nini wewe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salamu ziwafikie wote popote walipo, ujumbe ni kuwa sisi sote wazima na tunalisongesha.Hi JF Members,
Rejea mada tajwa hapo juu, yahusika.
Kusudi la kuandika article hii, ni kuwaelimisha wanasiasa na jamii kwa ujumla kutokuwafanyia wengine vile ambavyo wao wenyewe hawapendi kufanyiwa.
Sheria za asili zinasema yafuatayo:
1. Chochote unachofanya lazima kitakurudia (What goes around, comes around)
2. To every reaction, there is equal and opposite reaction
3. Utavuna ulichopanda n.k
Hivyo ukiona unatukanwa, basi ujue kuna mtu au watu uliwahi kuwatukana.
Ukiona unapigwa vijembe au watu wanakunanga au kukusimanga na wewe ujue kuna mtu au watu huwa unawafanyia au uliwahi kuwafanyia hivyo.
Ukiona unadharauliwa mpaka na mbwa wako, ujue na wewe una dharau!
Ujumbe wa kuondoka nao hapa ni kwamba, tuwatendee binadamu wenzetu vile ambavyo sisi tunapenda kufanyiwa na yale tusiyopenda kufanyiwa basi tusiwafanyie na wengine.
Tujifunze kuvaa viatu vya watu wengine.
Huu ndio ukweli na ukweli ni ukweli na utabakia kuwa ukweli haijalishi huo ukweli umesemwa na nani.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tubariki Watanzania.
Ahsanteni sana.
Lilifukuzwa na JPM kwa vyeti fekiHawa watu hutanguliza matumbo yao kuliko maslahi mapana ya Taifa
Your wishesZero brain
Ni mwendo wa toa gambe weka gambe!!Hi JF Members,
Rejea mada tajwa hapo juu, yahusika.
Kusudi la kuandika article hii, ni kuwaelimisha wanasiasa na jamii kwa ujumla kutokuwafanyia wengine vile ambavyo wao wenyewe hawapendi kufanyiwa.
Sheria za asili zinasema yafuatayo:
1. Chochote unachofanya lazima kitakurudia (What goes around, comes around)
2. To every reaction, there is equal and opposite reaction
3. Utavuna ulichopanda n.k
Hivyo ukiona unatukanwa, basi ujue kuna mtu au watu uliwahi kuwatukana.
Ukiona unapigwa vijembe au watu wanakunanga au kukusimanga na wewe ujue kuna mtu au watu huwa unawafanyia au uliwahi kuwafanyia hivyo.
Ukiona unadharauliwa mpaka na mbwa wako, ujue na wewe una dharau!
Ujumbe wa kuondoka nao hapa ni kwamba, tuwatendee binadamu wenzetu vile ambavyo sisi tunapenda kufanyiwa na yale tusiyopenda kufanyiwa basi tusiwafanyie na wengine.
Tujifunze kuvaa viatu vya watu wengine.
Huu ndio ukweli na ukweli ni ukweli na utabakia kuwa ukweli haijalishi huo ukweli umesemwa na nani.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tubariki Watanzania.
Ahsanteni sana.
Uelewa wetu ni mdogo na hili suala la bandari limewavua nguo wanataaluma tulionao, wameipotosha jamii na kuijaza ujinga.Kusema ukweli bila kupepesa macho watetezi wa Samia kwenye sakata la DP World ndiyo waliingiza hoja ya udini baada ya kushindwa kujibu hoja za waliokuwa wanapinga baadhi vipengele vya mkataba huu tata.
Chawa acha kujishuku.Rais hana muda huo pimbi wewe.
Mtamuelewa tu mama samia. Mwendo mdundo mpaka 2030Chawa acha kujishuku.
Kama mlivyotujaza ujinga enzi za JK kuwa mnaachana na umeme wa maji kisa ni mabadiliko ya tabia nchi mnahamia kwenye umeme wa gas. Ila alipoingia Magufuli mkameza matapishi yenu kwa ujenzi wa bwawa la umeme la hydro, huku mkiwa kimya kuhusu ile sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.Uelewa wetu ni mdogo na hili suala la bandari limewavua nguo wanataaluma tulionao, wameipotosha jamii na kuijaza ujinga.