Ukitukana utatukanwa, ukidharau utadharauriwa, ukipiga vijembe utapigwa vijembe

Ukitukana utatukanwa, ukidharau utadharauriwa, ukipiga vijembe utapigwa vijembe

Uongozi wenye mfumo wa vyama vingi unahitaji ukomavu wa kisiasa , Yani chama tawala kinataka vyama vya upinzani vifulahi mda wote kuhusu serikali,Hilo halipo,haliwezekuepo,halitakuepo ,na halitatokea .

Mpinzani siku zote ni mpinzani kikubwa viongozi wa kisiasa kueni wakomavu kisiasa
Well said Sir.
 
Ni kweli kabisa,
Watu wanamchukulia Rais Samia kirahisi sana kwa namna ya haiba yake ya upole na kutofoka. Lakini nawahakikishia kuwa Samia ni longtimer kwenye gemu za siasa na yuko matured.

Hiyo hotuba ya juzi ndiyo mwafaka sana kwa hawa waropokaji wa majukwaani. Unawakabili vile walivyokuja.

Hapa hakuna kumpiga mtu risasi 16 wala kumyang'anya fedha zake kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Ukija kiungwana utajibiwa kiungwana. Ukija na kejeli unapigwa vijembe vile vile.
Sasa anasikiaje wakati alitwambia kaziba masikio?
Au kelele zimekuwa nyingi kiasi kwamba hawezi kuziba masikio tena?!
 
Hi JF Members,

Rejea mada tajwa hapo juu, yahusika.
Kusudi la kuandika article hii, ni kuwaelimisha wanasiasa na jamii kwa ujumla kutokuwafanyia wengine vile ambavyo wao wenyewe hawapendi kufanyiwa.

Sheria za asili zinasema yafuatayo:
1. Chochote unachofanya lazima kitakurudia (What goes around, comes around)
2. To every reaction, there is equal and opposite reaction
3. Utavuna ulichopanda n.k

Hivyo ukiona unatukanwa, basi ujue kuna mtu au watu uliwahi kuwatukana.

Ukiona unapigwa vijembe au watu wanakunanga au kukusimanga na wewe ujue kuna mtu au watu huwa unawafanyia au uliwahi kuwafanyia hivyo.

Ukiona unadharauliwa mpaka na mbwa wako, ujue na wewe una dharau!

Ujumbe wa kuondoka nao hapa ni kwamba, tuwatendee binadamu wenzetu vile ambavyo sisi tunapenda kufanyiwa na yale tusiyopenda kufanyiwa basi tusiwafanyie na wengine.

Tujifunze kuvaa viatu vya watu wengine.

Huu ndio ukweli na ukweli ni ukweli na utabakia kuwa ukweli haijalishi huo ukweli umesemwa na nani.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tubariki Watanzania.

Ahsanteni sana.
Salamu ziwafikie wote popote walipo, ujumbe ni kuwa sisi sote wazima na tunalisongesha.
 
Ni mwendo wa toa gambe weka gambe!!
 
Kusema ukweli bila kupepesa macho watetezi wa Samia kwenye sakata la DP World ndiyo waliingiza hoja ya udini baada ya kushindwa kujibu hoja za waliokuwa wanapinga baadhi vipengele vya mkataba huu tata.
Uelewa wetu ni mdogo na hili suala la bandari limewavua nguo wanataaluma tulionao, wameipotosha jamii na kuijaza ujinga.
 
Uelewa wetu ni mdogo na hili suala la bandari limewavua nguo wanataaluma tulionao, wameipotosha jamii na kuijaza ujinga.
Kama mlivyotujaza ujinga enzi za JK kuwa mnaachana na umeme wa maji kisa ni mabadiliko ya tabia nchi mnahamia kwenye umeme wa gas. Ila alipoingia Magufuli mkameza matapishi yenu kwa ujenzi wa bwawa la umeme la hydro, huku mkiwa kimya kuhusu ile sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.
 
Back
Top Bottom