Ukitukana utatukanwa, ukidharau utadharauriwa, ukipiga vijembe utapigwa vijembe

Well said Sir.
 
Sasa anasikiaje wakati alitwambia kaziba masikio?
Au kelele zimekuwa nyingi kiasi kwamba hawezi kuziba masikio tena?!
 
Salamu ziwafikie wote popote walipo, ujumbe ni kuwa sisi sote wazima na tunalisongesha.
 
Ni mwendo wa toa gambe weka gambe!!
 
Kusema ukweli bila kupepesa macho watetezi wa Samia kwenye sakata la DP World ndiyo waliingiza hoja ya udini baada ya kushindwa kujibu hoja za waliokuwa wanapinga baadhi vipengele vya mkataba huu tata.
Uelewa wetu ni mdogo na hili suala la bandari limewavua nguo wanataaluma tulionao, wameipotosha jamii na kuijaza ujinga.
 
Uelewa wetu ni mdogo na hili suala la bandari limewavua nguo wanataaluma tulionao, wameipotosha jamii na kuijaza ujinga.
Kama mlivyotujaza ujinga enzi za JK kuwa mnaachana na umeme wa maji kisa ni mabadiliko ya tabia nchi mnahamia kwenye umeme wa gas. Ila alipoingia Magufuli mkameza matapishi yenu kwa ujenzi wa bwawa la umeme la hydro, huku mkiwa kimya kuhusu ile sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…