Ukitukana utatukanwa, ukidharau utadharauriwa, ukipiga vijembe utapigwa vijembe

Uhuru unaofaidika nao una mipaka yake, ndio maana pana ya demokrasia.

Sasa ndugu, unasema haya kumwelekea nani.?

Unadhani huo uhuru una mipaka kwa kina Tundu Lissu tu na CHADEMA?

Wao kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko CCM na serikali yao ya sasa hiyo "mipaka ya uhuru" haiwahusu siyo?

Kama unadhani hivyo, nakuhakikishia jambo moja kuwa your assumptions are very wrong..!

Na waambie wenzako huko kuwa, kama wanadhani wao ndiyo wanaweza kuwawekea wengine mipaka ya uhuru wao huku wao wakiwa wanavuka mipaka hiyo kwa kiwango cha kutesa na kumwaga damu za wengine, basi umefika wakati wao pia si tu kuwekewa mipaka bali kufungiwa mipaka yao kabisa!!
 
Well said Mkuu
 
Linganisha awamu ya JPM na hii ya SSH kwenye suala zima la uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa utaiona tofauti kubwa sana.

JPM hakutaka kupoteza muda kwenye masuala ya demokrasia alijua kwamba ni mtego utakaotupotezea muda na kutunyima ile mitazamo chanya ya kimaendeleo, na hakukosea hata kidogo kuwa na fikra zile.

SSH amekuwa muungwana sana kuachia kina Lissu, Lema na Mbowe wajimwage kadri wanavyojisikia lakini bado anaonekana kama vile anakosea na hajui analolifanya.
 
Enzi ya JK sio sawa na enzi ya Samia. Marais wawili tofauti na wenye washauri na wasaidizi wenye viwango tofauti vya uelewa.
 
Mtu yoyote aliyefeli form four na kupachikwa mimba akiwa mdogo hawezi kuwa na akili sawasawa
 
Rais Samia anadai chadema wanamtukana. Kwahiyo tuhitimishe owa kusema naye alitukana.

Ndiyo! Ailitukana, akasema STUPID.
 
Sasa wana ccm wanamtaka wewe unataka akagombee chadema hii ina kuingia akilini kweli
Kumbe wanamtaka wana ccm tu! Ndio maana nikasema akienda kugombea chama kingine halafu ccm wakiweka mbwa huyo Samia hatoboi mbwa anaingia Ikulu.
 
Mbwa mamako
Halafu ndio unataka yule mama yako ikulu kule asitukanwe ila mama wa wengine ndio uwatukane, hilo haliwezekani.

Nakwambia hivi wewe kama unaona Samia anakubalika na atapita huo uchaguzi ujao basi mwambie agombee chama kingine halafu ccm waweke mbwa kama mgombea halafu uone nani ataingia ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…