Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nyerere mwenyewe hatumuelewi ndio tutamuelewa yeye? Labda nyie chawa ndio mnamuelewa.Mtamuelewa tu mama samia. Mwendo mdundo mpaka 2030
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere mwenyewe hatumuelewi ndio tutamuelewa yeye? Labda nyie chawa ndio mnamuelewa.Mtamuelewa tu mama samia. Mwendo mdundo mpaka 2030
2030 unaijua we chawa???Endeleeni kumshika hivo hivo hapa ni mpaka 2030.
Unaijuwa wewe mimi siijui.2030 unaijua we chawa???
Uhuru unaofaidika nao una mipaka yake, ndio maana pana ya demokrasia.
Well said MkuuSasa ndugu, unasema haya kumwelekea nani.?
Unadhani huo uhuru una mipaka kwa kina Tundu Lissu tu na CHADEMA?
Wao kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko CCM na serikali yao ya sasa hiyo "mipaka ya uhuru" haiwahusu siyo?
Kama unadhani hivyo, nakuhakikishia jambo moja kuwa your assumptions are very wrong..!
Na waambie wenzako huko kuwa, kama wanadhani wao ndiyo wanaweza kuwawekea wengine mipaka ya uhuru wao huku wao wakiwa wanavuka mipaka hiyo kwa kiwango cha kutesa na kumwaga damu za wengine, basi umefika wakati wao pia si tu kuwekewa mipaka bali kufungiwa mipaka yao kabisa!!
Na ndiyo kinamtafuna mpaka sasaKusema ukweli bila kupepesa macho watetezi wa Samia kwenye sakata la DP World ndiyo waliingiza hoja ya udini baada ya kushindwa kujibu hoja za waliokuwa wanapinga baadhi vipengele vya mkataba huu tata.
Linganisha awamu ya JPM na hii ya SSH kwenye suala zima la uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa utaiona tofauti kubwa sana.Sasa ndugu, unasema haya kumwelekea nani.?
Unadhani huo uhuru una mipaka kwa kina Tundu Lissu tu na CHADEMA?
Wao kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko CCM na serikali yao ya sasa hiyo "mipaka ya uhuru" haiwahusu siyo?
Kama unadhani hivyo, nakuhakikishia jambo moja kuwa your assumptions are very wrong..!
Na waambie wenzako huko kuwa, kama wanadhani wao ndiyo wanaweza kuwawekea wengine mipaka ya uhuru wao huku wao wakiwa wanavuka mipaka hiyo kwa kiwango cha kutesa na kumwaga damu za wengine, basi umefika wakati wao pia si tu kuwekewa mipaka bali kufungiwa mipaka yao kabisa!!
Enzi ya JK sio sawa na enzi ya Samia. Marais wawili tofauti na wenye washauri na wasaidizi wenye viwango tofauti vya uelewa.Kama mlivyotujaza ujinga enzi za JK kuwa mnaachana na umeme wa maji kisa ni mabadiliko ya tabia nchi mnahamia kwenye umeme wa gas. Ila alipoingia Magufuli mkameza matapishi yenu kwa ujenzi wa bwawa la umeme la hydro, huku mkiwa kimya kuhusu ile sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.
Rais bongo wewe? Hata mbwa anaweza kuwa rais akigombea kupitia ccm.Rais hana muda huo pimbi wewe.
Mtu yoyote aliyefeli form four na kupachikwa mimba akiwa mdogo hawezi kuwa na akili sawasawaNi kweli kabisa,
Watu wanamchukulia Rais Samia kirahisi sana kwa namna ya haiba yake ya upole na kutofoka. Lakini nawahakikishia kuwa Samia ni longtimer kwenye gemu za siasa na yuko matured.
Hiyo hotuba ya juzi ndiyo mwafaka sana kwa hawa waropokaji wa majukwaani. Unawakabili vile walivyokuja.
Hapa hakuna kumpiga mtu risasi 16 wala kumyang'anya fedha zake kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Ukija kiungwana utajibiwa kiungwana. Ukija na kejeli unapigwa vijembe vile vile.
Tena kwa sasa uchawa ndio umeshika kasi kuliko hata kipindi cha JK.Enzi ya JK sio sawa na enzi ya Samia. Marais wawili tofauti na wenye washauri na wasaidizi wenye viwango tofauti vya uelewa.
Nenda ukajifungue hiyo mimba yako kwa operesheniMtu yoyote aliyefeli form four na kupachikwa mimba akiwa mdogo hawezi kuwa na akili sawasawa
Acha bangiRais bongo wewe? Hata mbwa anaweza kuwa rais akigombea kupitia ccm.
Mwambie basi agombee kupitia chama kingine tofauti na ccm halafu tuone kama atatoboa, ndio utajua navuta bangi au sio.Acha bangi
Sasa wana ccm wanamtaka wewe unataka akagombee chadema hii ina kuingia akilini kweliMwambie basi agombee kupitia chama kingine tofauti na ccm halafu tuone kama atatoboa, ndio utajua navuta bangi au sio.
Kumbe wanamtaka wana ccm tu! Ndio maana nikasema akienda kugombea chama kingine halafu ccm wakiweka mbwa huyo Samia hatoboi mbwa anaingia Ikulu.Sasa wana ccm wanamtaka wewe unataka akagombee chadema hii ina kuingia akilini kweli
Mbwa mamakoKumbe wanamtaka wana ccm tu! Ndio maana nikasema akienda kugombea chama kingine halafu ccm wakiweka mbwa huyo Samia hatoboi mbwa anaingia Ikulu.
Halafu ndio unataka yule mama yako ikulu kule asitukanwe ila mama wa wengine ndio uwatukane, hilo haliwezekani.Mbwa mamako