Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

Ujue ukitaka kupata kilicho bora ebu waza kinyumenyume na walimwengu baadae utanishukuru!

Leo fundi SAMICO Baada ya kumaliza project kwa amani na mteja wangu niliamua kwenda bar kutafakari napataje kazi nyingine!

Lakini nikiwa bar nimegundua ukituliza kichwa sawasawa huku ndiko waliko wake wa kuoa kwa mtu ambaye yupo serious!

Bar hakai kisirani, Bar hakai mwanmke mzembe, bar hakai mwanamke legelege! n.k

wengi walioko bar Mungu kawapa kipawa flani kila mtu na chake!
nzuri kuliko yote wanajua mwanaume anapenda nini na hapendi nini!

Ubamedi ni kazi tu kama kazi nyingine, Kwa maoni yangu ukifanikiwa kuchagua huku furaha ni kubwa sana kuliko majuto!

Huko kwingine mnakozani wametulia ni feki feki nyingi,

Ukweli ni kwamba badilisheni mtizamo kidogo, Bar ukichagua na kupata umepata kwelikweli!

Mwanamke anaevumilia matusi ya mlevi rohoni mwake amejaa amani nyingi kuliko mlokole asiye na adabu kwa mmewe!

Wakati wengi wakipanga mjini wewe nenda kajenge shamba, hivyo ndivyo ukitaka mke bora kamtafte bar!

Natoa ofa kwa kazi za ufundi bei yangu ni Tsh 95000/= tu kwa chumba cha kuishi, yaani ukitaka kujenga kila chumba 95000/=, ukitaka wiring kila chumba 95000/=, ukitaka tailz kila chumba 95000/= chochote unachokitaka nipigie bei ni 95000/ tu
Napatikana kwa 0711756341 au instagram @samico_tanzania
KUANZIA LEO UKISIKIA MTU ANASEMA ANATAFTA MKE mwambie Fundi SAMICO kasema ukamtafte BAR
Jichanganye utajuta
 
Wewe ni dish [emoji341] la mtandao gani sijui, network iko na shida
 
Mkuu, umenikumbusha Dodoma. Palikuwa na 'open bar' moja inaitwa "Arctic" karibu na Jamatini.
Bwana mmoja alimchukua mdada wapale kuwa mke wake. Alichokifanya yule bwana kila wikiendi wanakuja wote tujumuika nasi.
Hilo lioitokea pia pale Sunset Bar karibu na Railway Club
 
Shetani wa mtu ni mtu, wanawake wenye tamaa hiyo namba msije mkaipiga mtaliwa kimasihara sasa shauri yenu
 
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
mke mwema aah

Majukumu yananizidi jamani nachoka
Kazi za ndani haziishi mke sina
Nimeshapiga deki
Maharagwe yaniungulia maji nimeishiwa
Nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika
Baado

Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
mke mwema aah
Wewe endelea kungojea usitafute, utazeeka single hakika
 
Ujue ukitaka kupata kilicho bora ebu waza kinyumenyume na walimwengu baadae utanishukuru!

Leo fundi SAMICO Baada ya kumaliza project kwa amani na mteja wangu niliamua kwenda bar kutafakari napataje kazi nyingine.

Lakini nikiwa bar nimegundua ukituliza kichwa sawasawa huku ndiko waliko wake wa kuoa kwa mtu ambaye yupo serious.

Bar hakai kisirani, Bar hakai mwanmke mzembe, bar hakai mwanamke legelege n.k

Wengi walioko bar Mungu kawapa kipawa flani kila mtu na chake! Nzuri kuliko yote wanajua mwanaume anapenda nini na hapendi nini.

Ubamedi ni kazi tu kama kazi nyingine, Kwa maoni yangu ukifanikiwa kuchagua huku furaha ni kubwa sana kuliko majuto.

Huko kwingine mnakozani wametulia ni feki feki nyingi.

Ukweli ni kwamba badilisheni mtizamo kidogo, Bar ukichagua na kupata umepata kwelikweli.

Mwanamke anaevumilia matusi ya mlevi rohoni mwake amejaa amani nyingi kuliko mlokole asiye na adabu kwa mmewe.

Wakati wengi wakipanga mjini wewe nenda kajenge shamba, hivyo ndivyo ukitaka mke bora kamtafte bar!

Natoa ofa kwa kazi za ufundi bei yangu ni Tsh 95000/= tu kwa chumba cha kuishi, yaani ukitaka kujenga kila chumba 95000/=, ukitaka wiring kila chumba 95000/=, ukitaka tailz kila chumba 95000/= chochote unachokitaka nipigie bei ni 95000/ tu.

Napatikana kwa 0711756341 au instagram @samico_tanzania
KUANZIA LEO UKISIKIA MTU ANASEMA ANATAFTA MKE mwambie Fundi SAMICO kasema ukamtafte BAR
Ukiwa mume bora lazima mke awe bora.

"It takes two to tango".
 
Nakubali bar na uko kwa wadada wanajiuza ni shida tu zimewafanya waamue kufanya kazi hizo nina ushaidi wa jamaa zangu dah maisha haya [emoji27] yaani wanawake wa hivyo wakipata waume wanakuwa wapole wastarabu wamama wazuri kabisa tena uwa wanashukuru sana maana hizo kazi awazipendi shida tu.
 
Back
Top Bottom