Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

Aisee
Kama ndio hivi basi hata wale wanaouza pale kona bar wanaweza kuwa mke mwema

Kila mtu na mtazamo wake
 
kabisa umenena! ni mentality ya watu ila hawa ndiyo watu kabisa ...nikiwa mkubwa huenda nikatafta barmedi wa kuoa
 
Nakubali mkuu ni wamama wazuri sana nina ushuuda kabisa dah hadi raha kwakweli [emoji3059] wanafanya hizo kazi ni shida tu.
 
cha msingi kwenye kumpata mke anayefaa ni kumuomba Mungu. mke mwema hutoka kwa Bwana. Anaweza akatokea au akapatikana kokote, Mungu akitoa baraka zake, hakuna kinachoharibika.


Yesu ni Bwana&Mwokozi
 
cha msingi kwenye kumpata mke anayefaa ni kumuomba Mungu. mke mwema hutoka kwa Bwana. Anaweza akatokea au akapatikana kokote, Mungu akitoa baraka zake, hakuna kinachoharibika.


Yesu ni Bwana&Mwokozi
mke mwema ni yule anaekidhi haja na kuutuliza moyo wako!

anaweza kutoka kwa bwana lakini msiendane bro!
wakati yeye akisali wewe unataka mzigo hamtaelewana!
 
hakuna shida niamini mimi! dereva mwenye uzoefu ni bora zaidi kuliko kwenda kuchagua veta!
niamini mimi Fundi SAMICO siyo mpaka uambiwe na mtumishi
Kwenye ndoa miaka yote huwaga hawangaliagi, uzoefu na ndio maana tokea kuwekwa misingi ya uumbaji mpaka sasa bikra bado inathamani kubwa na kama ikikosekana basi low body counts inakuwa favorable.

Kijana ndoa sio kampuni, useme unahitaji watu wenye experience kuiendesha.Ila probability ya kupata mke mwema kati ya malaya ipo,ila ni ndogo sana approximately equal to zero.
 
kumbuka ile injili inasema " HUYU KAHABA KANIKARIBISHA, AKANIFUTA NA MIGUU,
Experience inalet ukarimu, heshima na utulivu! pale temeke Devorce mia tatu kwa mwezi,
bikira zenyewe za mchongo utapata wapi bro!
kachukue mzigo bar muanze maisha mnipe na kazi niwajengee kajumba kazuri!
 
Umeelewa point yangu

."Ila probability ya kupata mke mwema kati ya malaya ipo,ila ni ndogo sana approximately equal to zero......."

Nilikwambia ipo ila ni ndogo haivuki hata 5%.

Rukaruka wewe ila ndoa ni tasisi ya kipekee sio kampuni useme inahitaji wafanyakazi wenye Experience kuiendesha.
 
Ndugu Samico Tanzania tabia ya kuandika uzi baada ya kulewa mbona tulishakataza!?
 
Una uzoefu Gani wa kunywa pombe ?? Unawajua bar maid au unawasikia? Yaani mwanamke anaefanya KAZI za bar anakumbwa na changamoto kama zote za walevi 99% ni malaya hawana tofauti na wale wanaojiuza, kwanza mshahara hauwatoshi na wanaishi Kwa offer wanataka mambo mazuri kusuka nywele za gharama kuvaa vizuri na kula mishikaki chips nyama choma michemsho hivyo vyote mpaka avipate ni lazima awe na mabwana kama wote, Sasa ni VIGUMU kutulia ndani pindi akiolewa
 
mmh siyo kwa ubaya huo duuh
 
kuna mmoja naona ananipenda sana....nikiendaga hiyo bar ninapewa treatment yakwenda..

.ngoja nimuoe kama fundi samico amesema mimi ni nani mpaka nikatae na napata wapi ujeuri wa kupinga hilo😀
 
kwaiyo unatushaurije? maana naona umeanzisha mjadala hlf umeuacha hewani hujaufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…