Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

Chips hazipunguzi nguvu zozote na mihogo haziongezi nguvu zozote. Hivyo vyakula vyote ni Carbohydrates, nothing new. Tuache kukariri.
 
Hutafuti mke bali unamtafuta mwanamke utakayemtesa kwa kuukubali uzinzi wako. Ndoa na uzinzi havichangamani. Punguza tamaa.
 
Kila binadamu na tabia yake, mwenye kutulia na atatulia asiyetaka ataendelea. Mtu aliyetayari kuuza mwili wake, ameiweka rehani nafsi yake, hashindwi kuweka rehani ndoa na familia yake pindi yakitokea ndani ya ndoa. Utamu wa ngono sio suluhisho la ndoa tulivu.
 
Mwanamke anaevumilia matusi ya mlevi rohoni mwake amejaa amani nyingi kuliko mlokole asiye na adabu kwa mmewe[emoji3578]
 
Samico kama samico
Naam mkuu! Leo naenda site mkuu kuna jamaa anachumba kimoja anataka wiring umeme fasta chapu chapu ahamie!
Naenda kumaliza kwa bei rahisi sana ufundi kanilipa 95000 bei ya ofa, Vifaa kanunua laki mbili tu, Fomu Tanesco TUTAMJAZIA BURE, bili tanesco luku atalipia 320,960/=
Maisha mepesi sana ukitumia Fundi Samico HAKIPOTEI KITU! Piga simu 0711756341 HAUTAJUTA au follow insta @Samico_tanzania
 
Thread closed, waache wajichanganye.
 
Wakevi wote wanawake kwa wanaime wakishaeewa wanaonana kuwa wote waziuri subiri pombe iishe

Baa sio eneo la kutafuta mke au mume wa kuoa ni hatari sana ni makazi ya mashetani

Mleta mada anahitaji msaada wa kisaikolojia na maombi

Awahi kwa Mwamposya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…