Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

Msanii wa Tanzania mr blue mke wake alimpatia club

Imekaa poa mkuu
 
Katika rekodi zangu za mahusiano demu niliyedumu nae kwa muda mrefu na hakua na mambo mengi nilikutana nae bar, mtoto fulani hivi wa kiiraqwi alikua muhudumu wa jikoni. Tushaachana though.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…