Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Umesema ni “kama imani tu”.Na pia huwezi thibitisha kwamba haupo....hio kitu iko personal kama imani tu
Kwani nini maana ya uchawi
Siasa nayo sio uchawi?
Hadi ww unaamni kuna uchawi 🙄Kama we mganga wako tapeli ni wewe bana......
Siasa inaweza tumia uchawi au miujiza.
Ndani ya dini pia kuna uchawi na miujiza inategemea mtumiaji anataka kutumia nini kati ya hayo.
MgangaHadi ww unaamni kuna uchawi 🙄
Kusema tu kuwa kitu flani kipo hakukifanyi kitu hicho kuwepo kweli.Hadi unasema hakipo ni kwamba umeshaona kuna sehem/watu wanasema kipo......kisingekuepo hata mawazo ya hiko kitu yasingekuwepo
Kwa hio uchawi unaamini upo
Pia wanaogopa kuacha kuamini uchawi kwa sababu kwenye vitabu vya dini uchawi umetajwa😁Wale hawatumii logic.
Kushaurika lazima ukubali kutumia logic kwanza.
Hiyo ni michezo ya akili tu kuna namna ata mimi naweza kukutengeneza ukawa super hero kwa maneno machache tu .Hili jambo lina maswali mengi sana yanayohitaji majibu ili kuweza kulithibitisha.
Kwa sababu ukijaribu kuangalia unaona kuna watu wanapata matatizo wanaenda kwa waganga na matatizo yao kweli yanaisha. Ukiangalia kuna watu wanatumia ndagu kupata pesa na kweli wanapata pesa na mali zinaonekana, jambo zinakua na mambo mengi ila still watu tunamuona kua flani kapata pesa na kunakua 'na za chini' za kuaminikakua pesa alizopata ni za kishirikina(manake ushirikina umefanya kazi).
Ila still pia kuna kesi mtu kapata tatizo anakimbilia kwa waganga ila ukiangalia tatizo ni la kawaida wala sio hata la kishirikina, lakini waganga wanamwambia ni la kishirikina na mtu anawaamini, wanaishia kumpiga tu hela na kufanya kweli ionekane kua waganga na ushirikina kwa namna flani kama havina ukweli.
Kwaio ni maswali juu ya maswali
Hapo ni kama wakutane muislam na mkristo na kila mmoja awe anasema huku ndo kuna mungu,, mwisho wa siku ni experience binafsi ya mtu ndo itakayompa jibu, na hata kwenye uchawi kuna atakaeamini haupo na kuna atakaeamini upo, wote wako sawa maana ni experience tofauti za binadamuKusema tu kuwa kitu flani kipo hakukifanyi kitu hicho kuwepo kweli.
Kwani Wagagagigikoko wapo kweli?
Uongo upo kwa watakao uamini na kwa wasio uamni na kuufuata haupo , hawa vijana tunawasaidia kuondoa mawazo hasi kwenye bongo zao ili wacheze smart .Upo ndio.
Uchawi ni uongo na ulaghai.
Kwani wewe ukiulizwa uongo na ulaghai upo au haupo utajibuje?
Hapa ndo napoona wanachanganya mazingaombwe na uchawiBado elimu yako mzee rudi tena darasani ,kuna magic tricks ambazo ni mazingaombwe halafu kuna uchawi (ushirikina) jaribu kusoma.
Katika ushirikina waganga 90% ni matapeli pia ushirikina ni imani ya watu kuamini upande wa pili kwa hiyo hauwezi kukuta kweny vitabu vyako.
Anayesema kitu kipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha kitu kipo.Na nyie thibitisheni haupo, maana na nyie mmeweka maneno tu
Ni ngum kidogo kuamini unachosema kwa sababu unakuta mtu huyo ambae anasemwa kua katumia ushirikina kupata mali, ni mtu ambae hakua na biashara kubwa ya kusema imempa mali nyingi ndani ya muda huo mfupi hata kama angetumia elimu ya aina gani kuongoza biashara yake
Hakuna uchawi.Hapo ni kama wakutane muislam na mkristo na kila mmoja awe anasema huku ndo kuna mungu,, mwisho wa siku ni experience binafsi ya mtu ndo itakayompa jibu, na hata kwenye uchawi kuna atakaeamini haupo na kuna atakaeamini upo, wote wako sawa maana ni experience tofauti za binadamu
Haya nathibitisha niliroga na kurogwa pia basi conclusion uchawi upoAnayesema kitu kipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha kitu kipo.
Kwa sababu kilichopo ndicho kinathibitika kipo.
Kisichopo, nje ya nadharia tupu, hakithibitiki hakipo, kwa sababu hakipo na kama hakipo, hakithibitishiki kwamba hakipo.
Ukitaka mtu anayesema uchawi haupo athibitishe uchawi haupo, ni sawa na kumwambia mtu ambaye hajavamiwa na wezi na kuibiwa athibitishe kwamba hajavamiwa na wezi na kuibiwa.
Atathibitishaje?
Anayeweza kuthibitisha ni yule anayesema jambo limetokea. Anayesema kavamiwa na wezi na kaibiwa anaweza kuthibitisha kwa alama za vidole za hao wezi, anaweza kutoa video ya kuonesha wezi wakiingia kwake.
Sasa mtu anayesema hakuna wezi walioingia kwake unamtaka athibitishaje kuwa hakuna wezi walioingia kwake?
Unataka atoe alama za vidole za wezi ambao hawapo? Unataka atoe video ya wezi ambao hawapo?
Polisi wakisema una madawa ya kulevya nyumbani kwako, wao ndio wana wajibu wa kuyasaka na kuyapata.
Hawakuambii wewe mtuhumiwa ambaye unasema huna madawa ya julevya uthibitishe huna madawa ya kulevya.
Utathibitishaje huna madawa ya kulevya?
You can't prove a negative.
Wewe unayesema uchawi upo ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha uchawi upo.
Anayesema uchawi haupo yeye kazi yake ni kutaka uthibitisho tu kuwa uchawi upo.
Utamu wa pipi ni mate yakoHakuna uchawi.
Huwezi kuthibitisha 🤣.Utamu wa pipi ni mate yako