MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Haya mambo yote Mungu ,shetani na uchawi, yapo ndani ya uwezo wa mtu tu alie amua kuyaamini .sio kwa kila mtu ,narudia tena sio kwa kila mtu , labda tu kama mmeamua kuaminishana kama kikundi ,kama Africa tulivyofanya.The world is mental....hata huo uchawi ni kucheza tu na manipulation za frequency za kiroho, sasa yakimkuta asielewa nini kinaendelea ndo atasema uchawi,,,ni kama dini tu pia
Unaniacha na maswali lukuki mkuuHizo dawa zinaamsha ile nguvu ya kufanya unachokita kupitia iman yako nina weza kukupaka ata mavi ya kuku tu na ukanikubali huu uhuni nilisha ufanya mkuu.
Uliza tu mkuu page za jf haziishi. Chochote unachokiona wewe umeamua kukiita ni uchawi au miujiza kwa sababu haujapata ufafanuzi , ukipata ufafanuzi utaita hiyo ni sayansi, babu zetu ungewaeleza habari ya mawasiliano ya simu wangekuona mchawi tu .Unaniacha na maswali lukuki mkuu
Niko hapa kijiji cha Kala pembeni mwa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa tunasoma huu uzi wako na Mzee Chinyama. Alivyosoma heading tu akasikitika sana. Kasema kama hutajali mtumie jina lako kamili pamoja na majina ya wazazi wako wote wawili ili akusaidie kutengua kauli yako.
Na ndo maana kuna zile dini zinasema zinaamini Mungu mmoja ila sasa ukicheki mambo yao ni kama kila mtu na Mungu wake,,,,,haya mambo ni experience binafsi ya mtu hayapo fixed kwamba kwakua mimi nimeona hivi au nina uwezo huu basi kwa kila mmoja itakua ni hivyo tuHaya mambo yote Mungu ,shetani na uchawi, yapo ndani ya uwezo wa mtu tu alie amua kuyaamini .sio kwa kila mtu ,narudia tena sio kwa kila mtu , labda tu kama mmeamua kuaminishana kama kikundi ,kama Africa tulivyofanya.
Usichokijua, Watu wengi na hata serikali, inakataa uchawi, maana ni ngumu kuudhibitosha, ingawa unaweza wepo.yaani hakuna watu wanakera kama wanaoamini ushirikina, ni wagumu sana kushaurika
Basi najitolea kukupeleka mwenyewe hapo
Siyo kweliWengi wanaosema hakuna uchawi ndo unakuta ndo wachawi wenyewe au wana interest zao huko
Mkuu,Nipeleke kwa uchawi, nakupa saa moja ukamilisje zoezi hili.
Mzee amesema nini zaidi juu ya hili?Niko hapa kijiji cha Kala pembeni mwa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa tunasoma huu uzi wako na Mzee Chinyama. Alivyosoma heading tu akasikitika sana. Kasema kama hutajali mtumie jina lako kamili pamoja na majina ya wazazi wako wote wawili ili akusaidie kutengua kauli yako.
Hivi Mchawi wa kweli kweli anashindwaje kujua jina langu?, Huo nao ni Ushahidi kuwa Uchawi haupo,na hao wanaojiita Wachawi hawana lolote
hana nguvu za kujua jina langu ila anaweza kunigeuza panya
Ngoja yakukute ndio utajua hujui.
Mkuu unajua kama yeye, ni Muumini wa Dini yeyote.Wewe ni mpumbavu na mjinga. Ikiwa mpaka vitabu vya dini vinataja kuwa uchawi upo tangu miaka mingi iliyopita iweje wewe useme uchawi haupo? Labda kama wewe huamini dini yoyote.
Mtu alitaka kukupigia simu anaota tu? Inatakiwa awe na namba yako? Bila namba ya mtu humpigii simu
Ata watu wakiwa wanasali kila mtu huwa ana tengeneza illusion ya Mungu wake kichwani kuna wengine wanatengeneza mpaka illusion ya bwana Brayan dicon kichwani.Na ndo maana kuna zile dini zinasema zinaamini Mungu mmoja ila sasa ukicheki mambo yao ni kama kila mtu na Mungu wake,,,,,haya mambo ni experience binafsi ya mtu hayapo fixed kwamba kwakua mimi nimeona hivi au nina uwezo huu basi kwa kila mmoja itakua ni hivyo tu
Akili ukishaijengea kitu Dylan huwa inaamin hivyo. Kuna nyumba niliwahi panga. Na ikiluwa na miaka kama 8 Haina mpangaji kisa Kila mpangaji alikuwa anaingia Ina mauza uza Sana. Lakin Mimi skuwahi kuwambiea Hilo tatizo wanalodai. Nilikaa kwenye hiyo nyumba Kwa mda wa miaka miwili bila kuyaona hayo mauza uza. Nimekuja kupewa taarifa hiyo mwaka wa pili mwishon na nikawambia Mimi siamin uchawi upo.Naomba nipe namba yako nikupeleke kwenye nyumba moja ipo mbagala. Utalala hapo siku moja tu alafu utakuja kutoa humu ushuhuda utakacho kikuta hapo. Kodi ya nyumba tutakulipia wenyewe.