inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mwingine si huyo jamaa hapo katoa ushuhuda bariadi,Dem alimkataa mtoto wa chief,hayo ni mambo yanatokea,nilikua mkuranga shamba,huko hawalimi bila kuloga,mzee mmoja alitamba kuwa mazao ya kijana yakifikia kuzaa yatanyauka na kuwa tayari kuchomwa moto,na kweli ikawa,yule kijana alipata habari,akaenda kupiga dawa ya magugu shamba la mzee mchana saa sita,haya mambo Kama hujuwahi kutana nayo huwezi yaaminiJe kama alitumia ujanja ili ahamishwe?
Wewe ukija dar sema uko wapi,nikupeleke,maana wazaram na wandengereko kuloga ni kama mchezo,wanapenda kweli kukomoaSiwezi kusema uongo na nikisema mchawi si ata jua mkuu? ,Siku nikija dar nitakutafuta mkuu pia uje utoe ushuhuda apa.
Unajuaje kuwa ukifunga milango vizuri tu na hujapitiwa ukadhani umefunga milango vizuri tu wakati hujafunga?Siku moja mimi nililala ndani nikafunga milango vizuri tu. Ile naamka asubuhi nikakuta milango yote iko wazi
Mkuu ww unalamba keki ya taifa ndio maana unasema hivyo.Hivi unafikiri kila mtu anataka kwenda kuishi kwenye baridi na maisha ya kibinafsi!?..mi binafsi ziwezi ishi ulaya Wala marekani
Mimi mtz mnyonge,siwezi ishi maisha ya kimbuzi wanayoishi wamarekani na ulaya,hakuna kujamiiana(socialisation),all the time uko stressed unawahi somethingMkuu ww unalamba keki ya taifa ndio maana unasema hivyo.
Kijijini kwetu kila mtu anaamni mimi ni mchawi hayo unayoyasema nina uzoefu nayo ndio maana nakuambia uchawi upo kwa watu waliamua kufikiri hivyo tu.Mwingine si huyo jamaa hapo katoa ushuhuda bariadi,Dem alimkataa mtoto wa chief,hayo ni mambo yanatokea,nilikua mkuranga shamba,huko hawalimi bila kuloga,mzee mmoja alitamba kuwa mazao ya kijana yakifikia kuzaa yatanyauka na kuwa tayari kuchomwa moto,na kweli ikawa,yule kijana alipata habari,akaenda kupiga dawa ya magugu shamba la mzee mchana saa sita,haya mambo Kama hujuwahi kutana nayo huwezi yaamini
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Akili ya binadamu ina uwezo wa kutengeneza chochote , shetani ,Mungu, uchawi na chochote kikawa kama kweli, na kikakupata , kinachohitajika apo ni imani na wazo la kuamni kutokea ndani , watu wengi wanacheza kwenye mitego ya frequency za kuamin uchawi bila kujijua na mwisho wa siku wana umba kushindwa mwisho wa siku wanaua ile hali ya kushinda ndani mwao .
Mkuu kama umeishi Tz maisha hayo hauwezi yaita ya upweke maisha ya upweke ni kukosa maji na umeme wa uhakika.Mimi mtz mnyonge,siwezi ishi maisha ya kimbuzi wanayoishi wamarekani na ulaya,hakuna kujamiiana(socialisation),all the time uko stressed unawahi something
Cha muhimu ndugu yangu heshimu tu watu wote pia kwepa kabisa ugomvi na watu unapokuwa Afrika. Itakusaidia kuwa salama. Kinyume na hapo ndo utajua kweli uchawi upo.Hivi Mchawi wa kweli kweli anashindwaje kujua jina langu?, Huo nao ni Ushahidi kuwa Uchawi haupo,na hao wanaojiita Wachawi hawana lolote
hana nguvu za kujua jina langu ila anaweza kunigeuza panya
Maeneo gani naweza kupigwa tukio la kichawi?Uwepo wa matapeli usikuhadae uchawi upo sana ndugu ungekuwa maeneo fulani alafu ukaongea maneno haya watu wangekupiga tukio ili kukuonyesha kwamba mambo ni moto
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unaungana na mtoa mada kwamba hakuna uchawi?Maeneo gani naweza kupigwa tukio la kichawi?
Naam! Hakuna uchawi.
Sasa ulichokisema ukikigeuza ndio jibu sahihi , watu wengi wanapenda kuwaaminisha hayo mambo ili kuweza kuwachezeeni kwa sababu wanajua kabisa msipo amini sio rahisi kuucheza huo mziki.Ata muchawi mwenyewe ukimuliza kama kuna uchawi ata kwambia haupo . Kuna vitu walimwengu wanaamua kuvifanya kama havipo na kutuaminishi kuwa havpo ili wawe huru zaidi kuvifanya
Hakuna jina la kitu kisichokuwepoNaam! Hakuna uchawi.
Kwa hiyo Wagagagigikoko, Komredi Kipepe, Madenge, Dr. Pimbi Love, Lodilofa, Sukununu, Sokomoko, Zena, Betina, na wengineo, wapo kweli?Hakuna jina la kitu kisichokuwepo
Ukiona kuna kitu kinaitwa kwa jina fulani basi hicho kitu kipo
Wewe kutokutana na visa vya uchawi haina maana kwamba haupo imetokea kwa wengine
Utakuwa mjinga ukitaka yakukute ndiyo uamini
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Swali la msingi ni mmejuaje kisichokuwepo kama hakipo. Hichi kichaka huwa mnapenda sana kukitumia na kiukweli kinaonyesha ni kwa namna gani msivyo yajua mambo. Bali mnafikiria kitoto sana.Kisichokuwepo kinathibitishikaje?