inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mwingine si huyo jamaa hapo katoa ushuhuda bariadi,Dem alimkataa mtoto wa chief,hayo ni mambo yanatokea,nilikua mkuranga shamba,huko hawalimi bila kuloga,mzee mmoja alitamba kuwa mazao ya kijana yakifikia kuzaa yatanyauka na kuwa tayari kuchomwa moto,na kweli ikawa,yule kijana alipata habari,akaenda kupiga dawa ya magugu shamba la mzee mchana saa sita,haya mambo Kama hujuwahi kutana nayo huwezi yaaminiJe kama alitumia ujanja ili ahamishwe?