Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

Barakha John

Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
49
Reaction score
163
UZI ….

Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo …

Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni ….

Kivipi ?….

Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na waarabu , walikuwa wanaulizia brand tofauti na hizo nilizo taja na wengi walikuwa wanaulizi sana za kijapani na Kichina .

….. sikuelewa kwa nini mbaka nilipo kuja kuelewa badae sana .

Je, Imekuaje? …

Soma kwanza hii !👇 tajiri

Habari …. Naitwa Mkisi wengi hupenda kuniita Mr. kidigitali .

Nimekuwa muuza simu na Laptop katika soko la kariakoo kwa miaka 5 sasa , tunauza Simu original used na Mpya kabisa ila OFFICIAL TU .

Kupitia kazi hii , imenifanya kuwa mtaalamu wa teknolojia kwa kujua mambo mengi kuhusu simu na Laptop…. Ungependa kununua simu hivi karibuni au kujifunza zaidi kuhusu simu !?

Nipigie / WhatsApp +255 757468193 au tufuatilie kupitia instagram pia kwa jina la @simukidigitali .

Haya tuendelee …

……. Sasa

Nilivhokuja kugundua ni kuwa simu walizo kuwa wanaulizia sana ni simu kali sana kwa kila kona

Yaani …

Uwezo wa battery , Camera , performance, Ai na teckolojia

Pengine hata wameyapita baadhi ya makampuni makubwa ambayo yanasifika duniani .

Hivyo …. Kama bajeti yako inaruhusu , jaribu kutumia aina hizi 7 za simu hutajutia pesa yako .

1. XAOMI

Hii ni kampuni kutoka kule nchini China , simu zake zinapokuja zinakuwa na ubora wa kila eneo .

Uzuri wa simu hizi zimegawanyika katika makundi mawili , za bei nafuu pia zipo za bei ghali hivyo mteja anajichagulia kutokana na bajeti aliyo nayo .

2. OPPO

Ukiuliza watumiaji wengi wa Tanzania kuhusu simu hii wengi watakupa negative comments, kwa sababu ya kuzoea kununua simu Coppy zinazo uzwa kwa bei nafuu .

Ila tunazo uza sisi ni Original na ili umiliki simu hii ni lazima uwe umejipanga na bajeti ya kutosha

Mfano OPPO FIND X9 ULTRA tunauza 4.6 M.

3. VIVO

Toa mawazo kwenye vivo za laki 2,1 , 3 hizo sio official hazitambuliki hata na vivo wenyewe

Hapa tunazingumzia simu official kama VIVO X300 ultra , VIVO x200 ultra zipo hadi Gb 512 .

Camera zake na performance ni Top Quality.

4. NOTHING PHONES

Kama unpenda kuwa tofauti bhasi hii ndio simu inayo kufaa , kwa sbabau ndio simu ambayo imepokea tuzo kadhaa kwa kuwa simu yenye ubunifu saizi duniani kwa sasa .

….. simu hii (kutokana na model tofauti) kuna ambazo zenye screen ndogo upande wa nyuma , imewekwa mapambo ya taa sinazo waka waka pia imewekwa glass inayo onesha hadi mpangilio wake wa ndani

Hizi ofisini zinapatikana USED na Mpya kabisa FULL BOXED ORIGINAL 📌

5. MOTOROLA

Ukisikia simu za roho ya paka bhasi hizi Tajiri

Hizi ni simu kutoka kule nchini Japan , zinasifika zaidi kwa teknolojia ya kioo chake kuwa curved na camera yake ya kipekee .

Processor yake yenye ubora wa kipekee n yenye uwezo wa kuprocess data nyingi kwa mara 1 battery lake pia inafumu muda mrefu zaidi

Dukani kwetu unapata used na mpya kabisa Original mfano Motorola Edge 50s Pro Used unaipata kwa 930,000 Tu .

6. ONE PLUS

Hii siiti simu bali balaa jipya Mjini 😆🙌

Hii simu inapiga picha kali sijawahi ona , kioo chake kipo smoothly hadi nikawa najiuliza imewezekanaje hii 😁

Tajiri ukitaka kuexpirience simu hii njoo Dukani nikupe uishike uitumie .

Muonekano wa kijanja sana , ni kama hutoch ikisense tu tayari battery mbaka 7,300 Mph😁🙌

Tajiri kama bajeti yako inaruhusu njoo chukua simu hii ipo siku utaniletea zawdi

Kwa model kubwa zaidi Flagship tunayo ONE PLUS 15 Gb tunayo mbaka 1 TB storage ambayo ni 2.9 M ila kwa 256 gb ni 2.5 M ukitaka hata used Unapata

Piga tu 0757468193 .

7. HUAWEI

Mabibi na Mabwana hii tusiite brand ya simu ni Kubwa la maadui 😁🙌

Wamarekani n ujanja wao wote hapa wamesalimu Amri 😁

Tajiri nakuambia hii simu imeshindikana , kuanzia teknolojia na AI , Camera , kioo chake na refresh rate yake simu hii imeshindikana.

Zipo za bei za kawaida yaani 2+ Million model kama Mate 80 Pro Pura 80 Pro , Pura 80 Ultra ila tunayo Flagship kubwa kabisa mbaka Huawei Mate XT ULTIMATE DESIGN kwa 10.1 M hujanunua IST hapa tajiri ? 😁🙌

Tajiri nimekusogezea brand hizi za simu ili ufunguke macho na kuona upande wa pili wa simu zinazo fanya vizuri

…… kama unapenda kuwa wa tofauti karibu dukani jipatie simu hizi , wajanja wengi wanaachana na iphones , Pixel , na Samsung

Lakini kati ya hizi ukiniambia nikurecomendie ni su gani uchukue ambayo inakupa kila kitu .

Yaani Camera , Performance, Bei nafuu ….

Nothing Phones na ONE PLUS manaa used zake tunazo na Brand New hata bei yake sio kali sana kulinganiaha na nyingine .

Tajiri unaweza kubofya hapa 👇👇👇 ukiunge na group letu WhatsApp tunatoa Tips mbalimbali nanuwe wa kwanza kupata ofa .

Tupigie sasa hivi +255 757468193

Tupo kariakoo , Aggrey na Msimbazi mkoani tunakutumia unapata mzigo wako .
 
Duuh
 
Imezipamba sana hizo simu zako lakini ni simu mbovu sana.
Huawei wana simu hadi ya Milioni 10 wakati ninyi mnahadaiwa na Marekani na viji iPhone ambavyo bei zake zina range milioni 4 hadi 5.

Huawei wana mfumo wao wa OS kivyao vyao na ni moto wa kuotea mbali.

Ninayo Huawei Pura 70 Ultra ni habari nyingine kabisa sitamani kutumia simu nyingine yoyote.
 
Mkuu nakubalina na wewe 100%.
Natumia Huawei Pura 70 Ultra aise ni kwikwi hii simu.

Mimi nilikuwa addicted na Samsung lakini nikasema ngoja nibadili brand nikanunua Huawei, aise ni noma sana.

Ulaya ndipo soko kubwa la Huawei lilipo maana ni simu zinazoaminika kuwa na ubunifu wa teknolojia ya hali ya juu sana.
 
Ulaya bado sana

Apple still wana miliki soko kwa 37 %
Samsung kwa 31 %

Then huawei wanafuata na 13%

Hapo sijaongelea US

Huawei wana vitu vizuri but apple na samsung bado wako on top kimauzo

Labda africa
 
Sisi ambao sio fanatics wa simu haya mambo ya flagships naona yanatupita.
Japo kuna haja ya kuihama Samsung sasa, Xiaomi Redmi Note....inaweza kuwa mbadala mzuri for now!
 
Ulaya bado sana

Apple still wana miliki soko kwa 37 %
Samsung kwa 31 %

Then huawei wanafuata na 13%

Hapo sijaongelea US

Huawei wana vitu vizuri but apple na samsung bado wako on top kimauzo

Labda africa
Naomba source ya takwimu hizi mkuu kama hutojali.
 
Simu yangu' Bora ni Motorola

Aisee, natafuta smartphone ya hii kampuni maana nimewahi kutumia zile walizoleta zenye button na screen touch 2013
 
UZI ….

Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo …

Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni ….

Kivipi ?….

Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na waarabu , walikuwa wanaulizia brand tofauti na hizo nilizo taja na wengi walikuwa wanaulizi sana za kijapani na Kichina .

….. sikuelewa kwa nini mbaka nilipo kuja kuelewa badae sana .

Je, Imekuaje? …

Soma kwanza hii !👇 tajiri

Habari …. Naitwa Mkisi wengi hupenda kuniita Mr. kidigitali .

Nimekuwa muuza simu na Laptop katika soko la kariakoo kwa miaka 5 sasa , tunauza Simu original used na Mpya kabisa ila OFFICIAL TU .

Kupitia kazi hii , imenifanya kuwa mtaalamu wa teknolojia kwa kujua mambo mengi kuhusu simu na Laptop…. Ungependa kununua simu hivi karibuni au kujifunza zaidi kuhusu simu !?

Nipigie / WhatsApp +255 757468193 au tufuatilie kupitia instagram pia kwa jina la @simukidigitali .

Haya tuendelee …

……. Sasa

Nilivhokuja kugundua ni kuwa simu walizo kuwa wanaulizia sana ni simu kali sana kwa kila kona

Yaani …

Uwezo wa battery , Camera , performance, Ai na teckolojia

Pengine hata wameyapita baadhi ya makampuni makubwa ambayo yanasifika duniani .

Hivyo …. Kama bajeti yako inaruhusu , jaribu kutumia aina hizi 7 za simu hutajutia pesa yako .

1. XAOMI

Hii ni kampuni kutoka kule nchini China , simu zake zinapokuja zinakuwa na ubora wa kila eneo .

Uzuri wa simu hizi zimegawanyika katika makundi mawili , za bei nafuu pia zipo za bei ghali hivyo mteja anajichagulia kutokana na bajeti aliyo nayo .

2. OPPO

Ukiuliza watumiaji wengi wa Tanzania kuhusu simu hii wengi watakupa negative comments, kwa sababu ya kuzoea kununua simu Coppy zinazo uzwa kwa bei nafuu .

Ila tunazo uza sisi ni Original na ili umiliki simu hii ni lazima uwe umejipanga na bajeti ya kutosha

Mfano OPPO FIND X9 ULTRA tunauza 4.6 M.

3. VIVO

Toa mawazo kwenye vivo za laki 2,1 , 3 hizo sio official hazitambuliki hata na vivo wenyewe

Hapa tunazingumzia simu official kama VIVO X300 ultra , VIVO x200 ultra zipo hadi Gb 512 .

Camera zake na performance ni Top Quality.

4. NOTHING PHONES

Kama unpenda kuwa tofauti bhasi hii ndio simu inayo kufaa , kwa sbabau ndio simu ambayo imepokea tuzo kadhaa kwa kuwa simu yenye ubunifu saizi duniani kwa sasa .

….. simu hii (kutokana na model tofauti) kuna ambazo zenye screen ndogo upande wa nyuma , imewekwa mapambo ya taa sinazo waka waka pia imewekwa glass inayo onesha hadi mpangilio wake wa ndani

Hizi ofisini zinapatikana USED na Mpya kabisa FULL BOXED ORIGINAL 📌

5. MOTOROLA

Ukisikia simu za roho ya paka bhasi hizi Tajiri

Hizi ni simu kutoka kule nchini Japan , zinasifika zaidi kwa teknolojia ya kioo chake kuwa curved na camera yake ya kipekee .

Processor yake yenye ubora wa kipekee n yenye uwezo wa kuprocess data nyingi kwa mara 1 battery lake pia inafumu muda mrefu zaidi

Dukani kwetu unapata used na mpya kabisa Original mfano Motorola Edge 50s Pro Used unaipata kwa 930,000 Tu .

6. ONE PLUS

Hii siiti simu bali balaa jipya Mjini 😆🙌

Hii simu inapiga picha kali sijawahi ona , kioo chake kipo smoothly hadi nikawa najiuliza imewezekanaje hii 😁

Tajiri ukitaka kuexpirience simu hii njoo Dukani nikupe uishike uitumie .

Muonekano wa kijanja sana , ni kama hutoch ikisense tu tayari battery mbaka 7,300 Mph😁🙌

Tajiri kama bajeti yako inaruhusu njoo chukua simu hii ipo siku utaniletea zawdi

Kwa model kubwa zaidi Flagship tunayo ONE PLUS 15 Gb tunayo mbaka 1 TB storage ambayo ni 2.9 M ila kwa 256 gb ni 2.5 M ukitaka hata used Unapata

Piga tu 0757468193 .

7. HUAWEI

Mabibi na Mabwana hii tusiite brand ya simu ni Kubwa la maadui 😁🙌

Wamarekani n ujanja wao wote hapa wamesalimu Amri 😁

Tajiri nakuambia hii simu imeshindikana , kuanzia teknolojia na AI , Camera , kioo chake na refresh rate yake simu hii imeshindikana.

Zipo za bei za kawaida yaani 2+ Million model kama Mate 80 Pro Pura 80 Pro , Pura 80 Ultra ila tunayo Flagship kubwa kabisa mbaka Huawei Mate XT ULTIMATE DESIGN kwa 10.1 M hujanunua IST hapa tajiri ? 😁🙌

Tajiri nimekusogezea brand hizi za simu ili ufunguke macho na kuona upande wa pili wa simu zinazo fanya vizuri

…… kama unapenda kuwa wa tofauti karibu dukani jipatie simu hizi , wajanja wengi wanaachana na iphones , Pixel , na Samsung

Lakini kati ya hizi ukiniambia nikurecomendie ni su gani uchukue ambayo inakupa kila kitu .

Yaani Camera , Performance, Bei nafuu ….

Nothing Phones na ONE PLUS manaa used zake tunazo na Brand New hata bei yake sio kali sana kulinganiaha na nyingine .

Tajiri unaweza kubofya hapa 👇👇👇 ukiunge na group letu WhatsApp tunatoa Tips mbalimbali nanuwe wa kwanza kupata ofa .

Tupigie sasa hivi +255 757468193

Tupo kariakoo , Aggrey na Msimbazi mkoani tunakutumia unapata mzigo wako .
Mimi natumia

Mimi natumia Huawei kwa kweli nimeielewa Sana. Kwanza Haifi labda ufe wewe itabaki kwenye list ya mirathi.
 
Huawei wana simu hadi ya Milioni 10 wakati ninyi mnahadaiwa na Marekani na viji iPhone ambavyo bei zake zina range milioni 4 hadi 5.

Huawei wana mfumo wao wa OS kivyao vyao na ni moto wa kuotea mbali.

Ninayo Huawei Pura 70 Ultra ni habari nyingine kabisa sitamani kutumia simu nyingine yoyote.
Bei gani hii, kiongozi! Maana matangazo mengi ya hii simu yanatia wasiwasi
 
Back
Top Bottom