hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Mmh
Hiyo pura ina playstore?Mkuu nakubalina na wewe 100%.
Natumia Huawei Pura 70 Ultra aise ni kwikwi hii simu.
Mimi nilikuwa addicted na Samsung lakini nikasema ngoja nibadili brand nikanunua Huawei, aise ni noma sana.
Ulaya ndipo soko kubwa la Huawei lilipo maana ni simu zinazoaminika kuwa na ubunifu wa teknolojia ya hali ya juu sana.
Huawei wana simu hadi ya Milioni 10 wakati ninyi mnahadaiwa na Marekani na viji iPhone ambavyo bei zake zina range milioni 4 hadi 5.
Huawei wana mfumo wao wa OS kivyao vyao na ni moto wa kuotea mbali.
Ninayo Huawei Pura 70 Ultra ni habari nyingine kabisa sitamani kutumia simu nyingine yoyote.
Hao wanauzia majina tu na aliyeanza kaanza lakini miaka ya mbele watakuja kuwekwa "Peninga".Ulaya bado sana
Apple still wana miliki soko kwa 37 %
Samsung kwa 31 %
Then huawei wanafuata na 13%
Hapo sijaongelea US
Huawei wana vitu vizuri but apple na samsung bado wako on top kimauzo
Labda africa
Sio kweli ubora upo tofauti kabisa mkuu sio majina mimi sio mpenzi wa Iphone ila siwezi kuwaponda kwa sababu mimi sio mtumiaji wa ile simu kwa sasa ila nanunua sana za kuagizwa au vijana wangu hizo ni simu kweli..Hao wanauzia majina tu na aliyeanza kaanza lakini miaka ya mbele watakuja kuwekwa "Peninga".
Okay.Sio kweli ubora upo tofauti kabisa mkuu sio majina mimi sio mpenzi wa Iphone ila siwezi kuwaponda kwa sababu mimi sio mtumiaji wa ile simu kwa sasa ila nanunua sana za kuagizwa au vijana wangu hizo ni simu kweli..
Samsung na Iphone watengwe hao ukitaka ujue Samsung ana balaa angalia hata bidhaa zake zingine kama TV,Washing machines ambao huku wapinzani wao wakubwa ni LG life is good..Okay.
Yeah SM wapo vizuri ,ndiyo natumia ,hizo brand nyingine sijatumia.Samsung na Iphone watengwe hao ukitaka ujue Samsung ana balaa angalia hata bidhaa zake zingine kama TV,Washing machines ambao huku wapinzani wao wakubwa ni LG life is good..
Siku ukitumia utaona utofauti mkubwa sana. Hao kina Samsung na iPhone ni overrated sanaYeah SM wapo vizuri ,ndiyo natumia ,hizo brand nyingine sijatumia.
Ni Kweli mkuu ,ukizoea brand nyingine siku ukajichanganya kwa MAC OS ,IOS lazima uone utofauti.Siku ukitumia utaona utofauti mkubwa sana. Hao kina Samsung na iPhone ni overrated sana
Mkuu, hata huko ulaya na Marakeni TCL anawaumiza vichwa hao Samsung, wanapambana kumdiscourage kwa kumpeleka mahakamani kuwa anauza bidhaa kwa udanganyifu. Ni ushindani wa hali ya juu - bampa to bampa, maana anauza TV zenye vioo vya teknolojia ya kisasa ila kwa bei nafuu, matokeo ni kuwa anasomba kijiji. Samsung ana hofu kubwa sana.Samsung na Iphone watengwe hao ukitaka ujue Samsung ana balaa angalia hata bidhaa zake zingine kama TV,Washing machines ambao huku wapinzani wao wakubwa ni LG life is good..
Mkuu huwa nanunua hivi vifaa najaribh kujiridhisha bila kuangalia brand nikiona hakipo sawa nauza TCL,Hisence,Skyworth android tv,Panasonic na JVC...nikajiridhisha Samsung na LG ni bora kwa sisi wateja wa kati ila kwa ubora wote hao hawamfikii Sony...Mkuu, hata huko ulaya na Marakeni TCL anawaumiza vichwa hao Samsung, wanapambana kumdiscourage kwa kumpeleka mahakamani kuwa anauza bidhaa kwa udanganyifu. Ni ushindani wa hali ya juu - bampa to bampa, maana anauza TV zenye vioo vya teknolojia ya kisasa ila kwa bei nafuu, matokeo ni kuwa anasomba kijiji. Samsung ana hofu kubwa sana.
![]()
Samsung wins court case against TCL in Germany over "fake quantum dot" TVs
The court ruled that TCL TVs were misleadingly advertised and that they do not in fact use quantum dots. Germany is the arena for yet another legal battle...m.gsmarena.com
Hapa na yeye ameshtakiwa na TCL kuwa anauza bidhaa fake