Hiyo pura ina playstore?
 
SAWA.. sema Nitabaki na mitumba yangu ya SONY🤗
 
 
Samsung na Iphone tungewaacha kuwajadili tuendelee kutangaza simu zetu tu hizi ni kosa kumuweka Samsung na hayo madudu hapo narudia tena ni kosa Samsung kumchanganya daraja moja na hayo madudu hapo...
 
Ulaya bado sana

Apple still wana miliki soko kwa 37 %
Samsung kwa 31 %

Then huawei wanafuata na 13%

Hapo sijaongelea US


Huawei wana vitu vizuri but apple na samsung bado wako on top kimauzo

Labda africa
Hao wanauzia majina tu na aliyeanza kaanza lakini miaka ya mbele watakuja kuwekwa "Peninga".
 
Hao wanauzia majina tu na aliyeanza kaanza lakini miaka ya mbele watakuja kuwekwa "Peninga".
Sio kweli ubora upo tofauti kabisa mkuu sio majina mimi sio mpenzi wa Iphone ila siwezi kuwaponda kwa sababu mimi sio mtumiaji wa ile simu kwa sasa ila nanunua sana za kuagizwa au vijana wangu hizo ni simu kweli..
 
Samsung na Iphone watengwe hao ukitaka ujue Samsung ana balaa angalia hata bidhaa zake zingine kama TV,Washing machines ambao huku wapinzani wao wakubwa ni LG life is good..
Yeah SM wapo vizuri ,ndiyo natumia ,hizo brand nyingine sijatumia.
 
Siku ukitumia utaona utofauti mkubwa sana. Hao kina Samsung na iPhone ni overrated sana
Ni Kweli mkuu ,ukizoea brand nyingine siku ukajichanganya kwa MAC OS ,IOS lazima uone utofauti.
 
Samsung na Iphone watengwe hao ukitaka ujue Samsung ana balaa angalia hata bidhaa zake zingine kama TV,Washing machines ambao huku wapinzani wao wakubwa ni LG life is good..
Mkuu, hata huko ulaya na Marakeni TCL anawaumiza vichwa hao Samsung, wanapambana kumdiscourage kwa kumpeleka mahakamani kuwa anauza bidhaa kwa udanganyifu. Ni ushindani wa hali ya juu - bampa to bampa, maana anauza TV zenye vioo vya teknolojia ya kisasa ila kwa bei nafuu, matokeo ni kuwa anasomba kijiji. Samsung ana hofu kubwa sana.


Hapa na yeye ameshtakiwa na TCL kuwa anauza bidhaa fake
 
Mkuu huwa nanunua hivi vifaa najaribh kujiridhisha bila kuangalia brand nikiona hakipo sawa nauza TCL,Hisence,Skyworth android tv,Panasonic na JVC...nikajiridhisha Samsung na LG ni bora kwa sisi wateja wa kati ila kwa ubora wote hao hawamfikii Sony...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…