Ukiukwaji wa Haki za Binadamu nchini Venezuela chini ya Nicolás Maduro

Lakini tanzania na venezuel kesi zinafanana kabisa si ndio

Tofauti iliyokuwepo serikali ya Tanzania ni puppet wa wazungu. Samia Suluhu na CCM wako tayari kufanya chochote watakachoambiwa na Trump au UE. Siasa ni kitu complicated sana
 
Kumbe matendo ya Sa100 na Maduro ni 🤞
Inafaa wote wabanwe kwa pamoja
 
AFCON HABARI YA MJINI MKUU
WATU WASHABOARD HUKOO
 
Ukifatilia serikali ya maduro bila wivu na siasa utagundua jamaa anastahili kupitishwa kwenye moto
 
Maduro kumbe hana tofauti na Samuya. Wadakwe tu hakuna namna!
 
Ata walibya na wasudani walisherekea hivi hivi lkn leo hii wanasaga meno

Hakuna jipya chini ya jua
Wasage meno tu maana walifikia level ya kulipiwa mahari na mshahara ukiwa huna kazi. Sasa hapo unataka nini kama sio tamaa tu😂! Huyo raisi hata akitawala mpaka afe ni freshi tu. Unazaliwa, unasoma bure kwa fedha za serikali, matibabu bure, unaolewa mke na kulipwa mshahara yani security ya maisha ni 90%. Raisi akiwajali raia wake kwa kiwango hicho na raia wakampinga basi jua tatizo ni la raia.

Sisi tunashida ya viongozi walafi na wabinafsi. Kwetu hali ni tofauti kabisa, ufisadi uliokithiri kiasi kwamba viongozi wamesahau kwamba wako kwa ajili ya maslahi ya wananchi wao wameamua kuweka maslahi yao binafsi mbele na kutuona raia kama vikaragosi.
 
Binadamu hawana kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…