Muhitimu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2022
- 252
- 251
Wewe Kingai utaaibika na kesi yako ya mchongo.Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Kingai utaaibika na kesi yako ya mchongo.Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Moses Lijenje hajulikana alipo mpaka sasa, huyu kijana nini kilimpata?....mbona haonekani mahakamani pamoja na wenzake?Nilichoelewa ni kwamba bwn Urio naye ameunganishwa tu kwenye huu ushahidi ila naye alikuwa kwenye mateso sawasawa na wakina Ling'wenya ila hawa wakina Kingai wamem-coach ili awe shahidi upande wa serikali ili awe salama.Hapo ni kwamba anataka kujinasua yeye mwenyewe.
Wewe hamnazo kabisa! Kama kweli Urio na DCI walikuwa na utu hao kina Bwire walitakiwa wawe upande wa polisi kuwa waende kufanya hiyo issue ila hata wakikamatwa itakuwa bosheni tu! Mwisho wamewatesa watu wa watu bila hata kosa.Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
Angemwalibu mke wakoUrio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Hivi weye huwa una akili kweli?nyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua
Wewe hamnazo kabisa! Kama kweli Urio na DCI walikuwa na utu hao kina Bwire walitakiwa wawe upande wa polisi kuwa waende kufanya hiyo issue ila hata wakikamatwa itakuwa bosheni tu! Mwisho wamewatesa watu wa watu bila hata kosa.
Utasubiri sana! Kingai unaumia moyoni lkn ujweli ndo huo. Movi uliosotea muda mrefu haitakupa jina.Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Mtego utoke wapi? Kwanza maajabu ni kwamba, kama leo Mbowe anakutana na Urio Casa, kesho yake Urio anaenda kwa DCI kutoa taarifa hapo hapo anaingia Kingai ambaye by then alikuwa Ars kama RCO! Real? Nini kilimwotesha Boaz kwamba hii kesi inayokuja mpelelezi awe RCO Wa Arusha ingawa itafungukiwa DDM. Aisee?! RCO wa DSM wala mikoa iliyokaribu na DSM wameenda wapi?. Yaani hii connection ya Kingai, Urio na Boaz inakujaje wakati Mbowe alikuwa anaratibu haya mambo akiwa DSM? Something very fishy hereKama ni mtego mbowe kajaa.
Wafuasi wa Cdm hawakuwepo kusaidia huo Ugaidi? Vijana 4 wanaweza Fanya Ugaidi Nchi nzima? Vilipuzi viko wapi? Mimi nilifikiri alikuwa anaombwa Connection ya Mabomu kumbe Walinzi!!Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
MBOWE angekuwa Gaidi angeomba Connection ya Mabomu kwa Komandoo Urio. Hapo tungeogopa. Mbowe alimkosea Nini Urio hadi amsaliti hivi?Mtego utoke wapi? Kwanza maajabu ni kwamba, kama leo Mbowe anakutana na Urio Casa, kesho yake Urio anaenda kwa DCI kutoa taarifa hapo hapo anaingia Kingai ambaye by then alikuwa Ars kama RCO! Real? Nini kilimwotesha Boaz kwamba hii kesi inayokuja mpelelezi awe RCO Wa Arusha ingawa itafungukiwa DDM. Aisee?! RCO wa DSM wala mikoa iliyokaribu na DSM wameenda wapi?. Yaani hii connection ya Kingai, Urio na Boaz inakujaje wakati Mbowe alikuwa anaratibu haya mambo akiwa DSM? Something very fishy here
Basic question,huyo urio ni intelijensia oficcer?ana ujuzi wa intelijensia?Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.
Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)
Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia
Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.
Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa
WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Urio ni shetani, alitafutwa na kutumiwa na akina Sabaya kummaliza Mbowe chini ya uratibu wa mwendazake. Bahati mbaya Jamaa katangulia mbele za haki kabla udhalimu haujakamilima. Hii ndo maana Sabaya na Makonda walilia kama watoto wadogo against kifo kile. Makonda akiwa na Boaz Dar wanapika sumu against Mbowe; Arusha, Sabaya na Kingai wanasaga sumu against Mbowe. Kote huku nia ni moja; MboweMBOWE angekuwa Gaidi angeomba Connection ya Mabomu kwa Komandoo Urio. Hapo tungeogopa. Mbowe alimkosea Nini Urio hadi amsaliti hivi?
Hakuna officer wa jeshi ambaye ni from four leaver take it from me.Urio ni shetani, alitafutwa na kutumiwa na akina Sabaya kummaliza Mbowe chini ya uratibu wa mwendazake. Bahati mbaya Jamaa katangulia mbele za haki kabla udhalimu haujakamilima. Hii ndo maana Sabaya na Makonda walilia kama watoto wadogo against kifo kile. Makonda akiwa na Boaz Dar wanapika sumu against Mbowe; Arusha, Sabaya na Kingai wanasaga sumu against Mbowe. Kote huku nia ni moja; Mbowe
Sijawahi kuona watu wenye roho mbaya kama Hawa. Wakati Urio akitamba kwamba kwenye screen server ya techno yake Kuna picha ya familia yake lkn wakati huohuo anaagamiza familia ya Mbowe na familia za wale washitakiwa wengine Kwa maslahi ya watawala. Very sad.
Lutein Denis Urio is just form four leaver. Akili ndogo, upeo mdogo na uelewa mdogo. Wanasiasa Wa chama tawala waliamua kutumia ujinga wake kumdhalilisha bila yeye kupima impact yake kwake. Jeshi imedhalilika pia.
Hakuna officer wa jeshi ambaye ni from four leaver take it from me.
Hakuna officer wa jeshi ambaye ni from four leaver take it from me.
Nyie ndo tunasema kila siku mmelishwa ugali tu tangu utoton bila hata mboga za majan hadi mkawa hivi. Usiharib uzi wa mtoa mada mwenye akili timam. Kuna majukwaa yako humu mengine! Huku kigezo ni uwe na akili timamUrio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna