Hivi nikuulize umaweza kufanya jambo bila fikira? Basi wewe tayari si binadamu mwenye utashi maana unanitaka niandike bila fikira kitu ambacho siwezi! Na ushahidi unataka lakini mi nimekupa ushahidi ya kimazingira!hapo ndipo ninapokuja na kukwambia hebu dadavua strong points ili hoja yako ilete maana na kuclick kwenye vichwa vya watu...
Unapoanza kusema unafikiri ooooh unajua, tayari ni vitu vya kufikirika ambavyo tunaweza pia kufikiri vinginevyo kama issue ni kufukiri tu....kufikiri kuna negative na positive...
Wasukuma mmeonekana ni wapumbavu sana, mtu mmoja kawavunjia heshima kwa jamii, ukweli wasukuma mlikuwa watu poa sana, sijui hilo bwana mlilitoa wapiHii kusema inasaidia sana,kuliko kuogopa kuitwa Sukuma gang KWA watu waliokosa uzalendo ndani ya nchi hii,Tunapigwa nje na ndani tena KWA speed ya Tozo na Mfumuko wa bei kila kona
Na watadanganywa sana maana hakuna anayefuatilia tena habari kutokana na mwendazake kuminya uhuru wa kupata habari ikiwemo kuzima bunge liveWaziri Mwambe amefikia hatua yakuwadanganya watanzania kuwa hakuna mkataba wowote uliowahi kusainiwa!!
Usinitukane haya maoni sio ya Wasukuma! Fiche upumbavu wako mku..du wewe! Kama unachangia changia kwa maoni yako sio kuita watu wapumbavu!Wasukuma mmeonekana ni wapumbavu sana, mtu mmoja kwavunjia heshima kwa jamii, ukweli wasukuma mlikuwa watu poa sana, sijui hilo bwana mlilitoa wapi
Sukuma gang ndiyo mlileta haya yote, pole sana ndugu kwani huna budi kuvumilia na kurudi kijijini.Kwa hiyo jina langu imekuwa nongwa sio! Mbona watu mna mawazo ya kibaguzi sana siku hizi?
Kwa hiyo niliowataja hapo Kakoko na Chamriho ni wasukuma? Yaani nyinyi watu ni wapumbavu sana!Sukuma gang ndiyo mlileta haya yote, pole sana ndugu kwani huna budi kuvumilia na kurudi kijijini.
Dah....Mheshimiwa akifungua shule mpya Kivukoniš¤Kwanini usiuweke hapa huo mkataba Ili tuone uongo wa Waziri Mwambe?
Kataa nitukane lakini narudia kusema wew ni msukuma na mpumbavu. PeriodUsinitukane haya maoni sio ya Wasukuma! Fiche upumbavu wako mku..du wewe! Kama unachangia changia kwa maoni yako sio kuita watu wapumbavu!
Huo ushahidi hauna msaada kwa sasa. Kikubwa Dikteta hayupo tena.Hivi wewe hujui kuwa kuna ushahidi wa kimazingira? Au shule mlienda kuzurura na kubeba madesa kichwani mje mvimbe mjini?
Unamuona Fisadi Msoga hapo kwenye picha anasaini mikataba ya bandari ya bagamoyo kama kakatwa kichwa! Yaani hakuna utawala kwa kitaahira kama wa huyu mtu! Ambaye ni sumu kwa taifa hili!Dah....Mheshimiwa akifungua shule mpya Kivukoniš¤
View attachment 2024801
View attachment 2024802
View attachment 2024805
Wakitafakari kuhusu madhara ya katiba Mpya dhido ya ccm wanaona bora tu hata hiyo Tume ya kuchunguza kifo cha Jiwe iachwe tuHapa ndipo utaipenda katiba mpya
Tulipowambia tunahitaji Katiba Mpya inayobalance madaraka ya Urais. Sio kumnyanganya mamlaka bali kuwe na checksUnamuona Fisadi Msoga hapo kwenye picha anasaini mikataba ya bandari ya bagamoyo kama kakatwa kichwa! Yaani hakuna utawala kwa kitaahira kama wa huyu mtu! Ambaye ni sumu kwa taifa hili!
Tunawaambia wekeni mkataba hapa tuuone, mnatuwekea picha wakisaini mkataba, what a fack is? Mikataba ipo ya namna nyingi, bahati mbaya kwa kiswahili yote huitwa Mikataba.Dah....Mheshimiwa akifungua shule mpya Kivukoniš¤
View attachment 2024801
View attachment 2024802
View attachment 2024805
Yule jamaa wala hakuwa msukuma, haijulikani hata kama kweli ni Mtanzania. Alijiita msukuma kuficha tuu. Hakuna msukuma mwenye roho ya ajabu kama mwenda zake.Wasukuma mmeonekana ni wapumbavu sana, mtu mmoja kawavunjia heshima kwa jamii, ukweli wasukuma mlikuwa watu poa sana, sijui hilo bwana mlilitoa wapi
Alikuwa na Roho mbaya kwa mafisadi kama nyinyi! Stupid unafikiri wasukuma wote ni malaika?Yule jamaa wala hakuwa msukuma, haijulikani hata kama kweli ni Mtanzania. Alijiita msukuma kuficha tuu. Hakuna msukuma mwenye roho ya ajabu kama mwenda zake.
Thubutuu....tena PM kasimu kama mtendaji mkuu wa serikali alitakiwa kuwa jelaHao waliokuwepo walishawahi kujibu kuhusu upotevu wa Trillion 1.5 kwenye ujenzi wa airport Chattle?
Teknolojia kumbafu sana, aibu yaoDah....Mheshimiwa akifungua shule mpya Kivukoni[emoji2960]
View attachment 2024801
View attachment 2024802
View attachment 2024805