Ukiunganisha dot ndo utaelewa: Alitolewa Kakoko bandarini akatolewa Chamriho ujenzi, akatolewa Kalemani Nishati n.k

Comment yako yote iko sahihi lakini bado inakubaliana kabisa na dukuduku za na mtoa hoja ambaye ingawa pia ni speculative. Kama wewe unarithi serikali ambayo mlikuwa pamoja, siyo kuwa uchaguzi umapita na unaanza kuondoa watu mliokuwa nao pamoja bila sababu yoyote ila tu kwa sababu ya utashi na powers ulizonazo harafu kukaanza mambo yasiyoeleka sawasawa kama haya ya bandari ya Bagamoyo ambayo ilikuwa shelved na uliyemrithi, ni wazi unaruhusu speculations kama alizotoa mto mada. Iwapo mama angeshinda uchaguzi akaanza kusuka upya serikali ningeelewa, ila yeye alirithi serikali iliyoachwa na aliyefariki. Hiyo ni tafsiri mbaya ya katiba na abuse ya powers za presidency. Ndiyo maana marekebisho ya katiba ni ya muhimu sana sasa than ever, kwa kuwa kuna somo la ziada tumelipata.
 
Wewe hizo ni hisia zako tu hazina uhalisia wowote. Mbona ndugai anasema haoni sababu kwanini bandari ya Bagamoyo ilikataliwa. Kwahiyo huoni hao wanaofufua wapo sahihi?
 
Leo mnaikosoa Katiba kwa kuwa imewagusa!!
Mwendazake alisema Katiba siyo kipaumbele chake ingawa Ilani ya chama chake imeitaja katiba na majumuisho yake.
Wakati huo hamkusema lolote, mlipiga makofi.

Mkuu kichuguu, wewe ni mmoja wa memba ninaowaheshimu hapa jf, hasa kutokana na michango yako, lakini katika hili sikubaliani nawe.
 
Kama unaniheshimu basi hujawahi kusoma posts zangu hapa kuhusu mapungufu ya katiba yetu na umuhimu wa kuyarekebisha. Inabidi upitia mlolongo mrefu kuanzia mwaka 2007! Kuna mambo mengi niliyokubaliana na Magufuli na kuna ambayo sikukubaliana naye, pitia tena post zangu za kuanzia mwaka 2017 untanielewa vizuri. Baadhi ya watu hapa wako too monolithic kuwa you are either on the side of Magufuli or on our side; watu tunaotumia logic hatuko hivyo. Magufuli alifanya mambo mengi sana mazuri kwa nchi ingawa pia alifanya mambo kadhaa mabaya; hakuwa malaika.
 
Hao waliokuwepo walishawahi kujibu kuhusu upotevu wa Trillion 1.5 kwenye ujenzi wa airport Chattle?
Hivi hizi hela zingekuwa zimeliwa kikweli kweli, na ubora wa teknolojia ya sasa mgekuwa kweli mmechelewa kuweka ushahidi namna zilivyoliwa hatua kwa hatua?
 
Statement yako ya mwisho imenena jambo ambalo niliambiwa siku nyingi zilizopita lakini sikutaka kuliamani na wala sijawahi kuliandika. Lisemwalo lipo?
Ndio kinachoenda kutokea ni swala la muda tu šŸ˜Ž
 
Kwani wao peke yaho ndio wanastahili kukaa pale milele. Na walioingia je, hawana haki hiyo? Tutolee kelele hapa.
 
Ndio kinachoenda kutokea ni swala la muda tu [emoji41]
Hahahahahaha, yaani kinachonichekesha jinsi mlivyopagawa na uongozi wa mama... Hivi mlikuwa tayari kuachia madaraka kweli, kama kweli angalieni tabu mnayopata. Mbaya zaidi ndio kwanza alfajiri..
 
TUpo tunawazoom, pamoja na mapungufu yake ila marehemu alitufungua macho kweli! Hakuna mtu anayetaka kujivisha mabomu na kujilipua kwenye mikutano ila ikifika hatua tutaenda hapo jirani kujifunza!
 
TUpo tunawazoom, pamoja na mapungufu yake ila marehemu alitufungua macho kweli! Hakuna mtu anayetaka kujivisha mabomu na kujilipua kwenye mikutano ila ikifika hatua tutaenda hapo jirani kujifunza!
Sana yani alitufumbua macho kweli
 
Hahahahahaha, yaani kinachonichekesha jinsi mlivyopagawa na uongozi wa mama... Hivi mlikuwa tayari kuachia madaraka kweli, kama kweli angalieni tabu mnayopata. Mbaya zaidi ndio kwanza alfajiri..
Unagongwa na wachawi wewe! Yani mie sina presha hata akae miaka 100 ila madhaifu yake ntayasema mtake msitakee
 
Unagongwa na wachawi wewe! Yani mie sina presha hata akae miaka 100 ila madhaifu yake ntayasema mtake msitakee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16], mkae kwa kutulia basi. Najua huna pressure yoyote ila vumilia mama agombezi wala hakufokei anafanya kazi kwa kuzingatia washauri wake halafu hakulupuki. Halafu zama za ubabe na kutunisha kifua zimepita.[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi hizi hela zingekuwa zimeliwa kikweli kweli, na ubora wa teknolojia ya sasa mgekuwa kweli mmechelewa kuweka ushahidi namna zilivyoliwa hatua kwa hatua?
Na mimi nakuuliza swali kwa teknolojia hii wameshindwa kujua Ben Saanane na Azori wako wapi?

Je wameshindwa kujua waliomshambulia Lissu mchana kweupe??

Jibu ni kuwa kulikua na vacuum kubwa sana na civic space was hugely muzzled during Jiwe's autocratic government
 
Spana zitaendelea kama kawaida dhidi ya uhuni wowote utakaofanyika!
We chekelea per diem za safari ila mama yenu lazma aeleweshwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…