Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 23, 2026 #1 Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jun 23, 2026 #2 Nchi ya hovyo hii
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jun 23, 2026 #3 Cha ajabu Museveni bado ni baby darling wa mabeberu.
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,791 Reaction score 15,016 Jun 23, 2026 #4 MKANGAFFU said: Cha ajabu Museveni bado ni baby darling wa mabeberu. Click to expand... Aanajua kwenda na beat
MKANGAFFU said: Cha ajabu Museveni bado ni baby darling wa mabeberu. Click to expand... Aanajua kwenda na beat
PeeWee JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,555 Reaction score 3,823 Jun 23, 2026 #5 Kwa sasa yule mzee amekuwa Godfather wa East Africa.