Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

Ndo uniandikie gazeti lote hilo, nimeishia kwa Yusuph kwahiyo mwenzetu wewe unajifananisha na huyo mtume wa Mungu?? Kwani na wewe ni nabii au mtume au mpakwa mafuta au labda unaishi karne ipi mwenzetu hii hii tuliyomo? Halafu hakuwa anajisifia hivi sifa zake zilimkuta akiwa hana habari muwe mnajilinganisha na mnaofanana nao,

nyie ni wake za watu ndo nishasema njoeni mnipige mkija na bwana zenu nawachukua mnaachwa
 
Mashangazi wenye sura personal utawajua tu. Makasiriko kibao.
 
Gen-z naona inaelekea kuwa Gen-F
 
binafsi mimi sio mzuri wa sura. nilikuja kugundua kuwa wanawake hawapendi sana wanawake mahandsome, ni kama tulivyo wanaume, tunaamini beautiful girl atamendewa na kila mtu. wadada wanapenda mtu wa sura ya kazi, kwasababu hata shuguli yenyewe hua hawapendi kuremba, wanapenda wapigwe hadi watake kukimbia. ndo tunavyowafanya wake zetu hadi waliamua kutulia hata kabla hawajaokoka.
 
Acha kujifariji
 
Kishapigwa mtu.
 
Vipi tukikutaka unatoa??
usiwe mchoyo
 
Kwaio walivyokwambia na wewe ukajiridhisha na kuridhika.

Mtu pekee ninayeweza kumuelewa akiniita handsome ni mama yangu mzazi, na si mtu yeyote yule kwenye hii dunia.

Mtu akikuita ama kukwambia wewe ni handsome ni kama amekutusi. (Neno Gentleman linanitosha)

NB: Uhendisome sio huo wa kuvaa hereni, kusuka na kujichubua. Mwanaume hana mapambo. Endeleeni tu kuitwa wazuri wazuri kwenye dunia hii iliyochangamka.
 
Mi najuq huku jamii forum level ya u- HB hakun huyu katokea wap
 
Wewe K una hasira sana za kifala sana. Sasa mama yako anaweza kukuambia una sura mbaya? Kuwa handsome sio kuvaa hereni wala kujichubua.
 
Yusuf alikuwa malaika? Sura mbaya sio ulemavu. Hakuna haja ya kuwachukia watu kisa wewe una sura mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…