Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

Hahahahahah!! " Eti ukiwa huna akili "

Ngoja wasiokuwa na akili waje..
 
Badili heading maana uko wote ni mbumbumbu

Ukiwa hufatilia Mpira Dunia lazima useme goli la pacome ni offside

Inatakiwa iwe hivo
 
jamani kujeni huku muone hawa triple mbu wameanza kukimbiana
 
Back
Top Bottom