Worse enough hizi kesi nyingi sana ni mijini hasa Daslama.
Sijui ndio utandawazi au wazazi na walezi wa sasahivi ni Bora na mnahuruma kuliko wa zamani.
Sikuhizi kuna vpind vya watoto hasa cartoons zna promote sana hizi mambo za homosexual,jaribu kuangalia cartoon mbali mbali ambazo znaoneshwa saivi tofauti na zile za miaka yetu.
Mtoto mdogo unampa simu anaingia YouTube, anaingia Instagram anakutana na kina Dulvan, sijui kina Juma Lokole na watu wote wanaoiga mambo ya kike, mwisho wa siku mtoto wa kiume anaona sawa.
Watoto wa kike nao ndio usiseme, mara wapige picha wamebusiana midomo ,mara wananyonyana ndimi, mara wamewekeana mguu juu ya mguu mwingine mara wamelaliana, mara kutekenyana hivi kwann shetan ASIKUSEMESHE jambo kwa mtindo huu.
Watoto wa kiume lazma walelewe kiume ikiwezekana kama ni WA mjini ikifika likizo waende kwa babu na bibi huko Sikonge au Mpitimbi Songea wakalime, wakawinde sio mtoto wa kiume anakaa anachek makatun ya kina Nickelodeon sijui Cinderella na dada zake.
Wakati Niko mdogo nlikuwa nikioga na ndugu zangu bafuni, siku hiyo tuko tunapiga story na wenzangu za visichana pale mtaani ,bi mkubwa akasikia kuanzia hapo ikawa mwisho kuoga pamoja Hadi Leo hii.
Wazazi achen malezi ya kimayai kama kina Irene uwoyaa mnaharibu watoto wenu acheni umagharibi usio na manufaa mtaja pata shida ukubwani