Nimejaribu sana kuchunguza haya maswala ya mapenzi ya jinsia moja hasa kwa wanaume yanavyoanza, wengi hukiri chanzo ni maisha ya shule za bording, hasa za jinsia moja, sijakataa pengine inaweza ikawa sawa, lkn huko ni kwa kiasi kidogo.
.
.
sababu kubwa sana ni majumbani mwetu huko, unakuta unamlaza mwanao na kijana wa kazi, sijui mjomba sjui binamu, wanalala kitanda kimoja, vijana dam zinatokota, kutongoza watoto wa kike wanaogopa, wanakula vizuri, aisee kwa kiwango kikubwa sana hapa ndipo panapoanzia.
.
.
tabia hizi zikiendelea kwa muda mrefu ni hatari sana, imagine dogo wameanza kuchezeana labda darasa hata la sita, aende mpaka kidato cha nne huko, atakua na hali gani, kwanza hizo tabia akianza woga wa kutongoza watoto wa kike ndo unaongezeka, ni hatari sana!
.
.
kikubwa naona tubadilishe mifumo ya maisha tuliyoyazoea, mama kuwa karibu na mtoto waa kiume, yes wa kiume ongea nae mada za kimapenzi, mtanie tanie, mf. Paul wewe wadada watakua wanajigonga sana, au Paul ukimaliza tuu chuo Oa mwanangu nataman nimwone mwanao, au sifa zile kumwonyesha ni Rijali, au wakat mwingine mpe mbinu hata za kutongoza, hizi aibu za watoto wa kiume na vyakula hivi hisia wanazopata ni kwa kiwango kikubwa, Baba pia mtoto wa kiume awe wa kiume kweli, mtoto wa kiume limekaa kama lischana la nini, mara misuko, mara kapaka hina, kama lipo bzy tengeneza jim nyumbani.. mpe ratiba ya jim na msimamie kweli, mwanaume lazima awe wa kiume hata kimwonekano tuu, akiwa mascular kwa Tanzania atatongozwa na madem, yaan dogo ajazie madem wamwache hamna hio,
.
.
na kikubwa DINI ifuatilieni, sikuhizi unakuta baba na mama wanaenda kanisani wamewaaçha madogo nyumbani, hata hawaulizi sababu, tuwafuatilie sana madogo.
.
.
mwisho nirudi kwenye mada, kiukweli usiombe yakukute aibu, na majonzi hayo unaweza kufa kwa presha, nashauri kama yametokea, mhamishe dogo eneo, mpeleke pengine jitahidi upate mshauri wa dini, sosholojia, na saikolojia, kumbadilisha dogo. na kaa nae karibu sana, usimlaumu sana akajihisi mkosaji, mchukulie kama mtoto na mahidi kumtunzia siri na abadilike.
.
.