Mzee kama wewe ushauri hauna maanatena kwako,wewe tunakuachia wahenga sasa,Kama kua uyaone mwanangu"ulisha chelewa.Samaki mkunje angali mbichi."Ulisha kakamaa"Sasa jua huna tena msaada na pengine na maana kwa mtanzania na Tanzania kilichosalia ni upitwe na muda mchache ulio salia.Binafsi ndio msaada wangu kwako.Uwe unatoa na ushauri Kwa wazee pia.
My Take
Jitihada haizidi kudra.
Dada acha kuvaa njoo twende chimbo moja hivi wana wine genuine kutoka Paris sio zile fake wanazotengeneza dubai 😛😹Japo nishazeeka ila na mimi nimejifunza.
Barikiwa mtibeli.
Lamomy nina muda sijajifanyia shopping ila nina ka laki 6 hapa.Hebu recomend wapi nitapata tu nguo twa bei nafuu hapo kariakoo kwa hicho kibajeti changu.Dukani kwako wewe una za kisichana sana nataka za kimadam😃
Ukiwa mzee na unamafanikio unaweza kula bure mtihani ukiwa hauna kitu hapo lazima uhonge😃😃😃
Ni kweli lakini kibinti ya miaka 20 kipo chuo alafu Taikon na 50Yrs yangu kinipe burebure lazima niwe nimetumia utapeli wa hali ya juu sana
Nimemiss harufu ya nguo mpya dogo.😬Dada acha kuvaa njoo twende chimbo moja hivi wana wine genuine kutoka Paris sio zile fake wanazotengeneza dubai 😛😹
Achana na hizo hadithi za vijiweni, kama una hela honga utapata wanawake wazuri na utakula wanawake wazuri unaowataka wewe.
Narudia tena hakuna mwanamke WA bure ukitaka kugonga bure mgonge dadako au mamako basi ila mwanamke asie na nasaba na wewe awe mke awe hawara au changudoa my friend hayupo naona umekubali Hapo kama unanunua ndio hivyo Sababu hakuna cha bure na kama yupo ni WA siku chache maana atachoka atakubwaga nawe utahamia kwa mwengine sasa NI mpaka lini utahamia mwenge kijiji.
Umetoa ushauri ni sawa, naomba nijibiwe hapa. Kwanini wanaume baadhi, mnadhani ni wanawake tu ndiyo wanawamalizia pesa, au ndiyo wanawafanya malengo yenu yasifanikiwe?
Haka kaugomvi baridi na wanawake mbona hakaeleweki? Uzuri mwisho wa siku kama mwanaume ni rijali, anakuwa na mwanamke. Ukikuta mwanaume yuko single leo labda ni sekunde chache katoka kuachana. Je hamuoni kutenganisha mwanaume na mwanamke hili limeshindikana ni kama mnampigia mbuzi gitaa akatike?
Ahsnte lakn umenipa maarifa kidogo
Sawa Taikon master natumai somo limewafikia vijana.
Kuhonga ni nature ya mwanaume yeyote.
Viumbe vyote vya jinsiia ya kiume huwa vinahonga ili kunogesha penzi au kutengeneza mazingira mazuri ya ushindi..
kumvua chupi mwanamke anayejielewa sio kazi ndogo AISEE.
Sana mkuu, sisi ndiyo tunawapa hela hao mnaowakula bure.Ninyi matajiri ndio mnatumia nguvu ya pesa
Sana mkuu, sisi ndiyo tunawapa hela hao mnaowakula bure.
Kuimba kupokezana.