Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!


Alafu yalivyo majinga yakilizwa ndio huja huku kusema wanawake wabayakama ulitumia pesa Vibaya kosa la Mwanamke ni lipi? Kutumia pesa za mjinga sio dhambi
 

Na Mwanamke akiliwa Bure huitoa Kwa hisia zote na lazima afike
 
Sio Kwa kijana mdogo chini ya miaka 45

Hakuna atakayekusifia Wala kukuona unaakili Kwa umri huo ukihonga. Hata huyo unayemhonga mwenyewe atakudharau tuu
Sasa bila kuhonga utampata mwanamke gani wa maana mkuu?

Kama hutaki kuhonga utaendelea kula malapulapu maisha yako yote.
Kama unataka kula kitu roho inapenda kuhonga ni lazima,.

Hivi kweli mwanaume umkose mtoto mzr sababu ya laki Moja?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazi tukuka.
Sisi acha tukusanye tufikie utajiri wenu
Vizuri mkuu endeleeni kujitafuta.
Mimi kabla sijajipata nilikuwa mwanafunzi mzuri sana wa masomo yako hasa ile misimamo yako ya 'usimhurumie mwanamke' bila shaka imechangia kwa kiasi kikubwa kuwa nilipo sasa, nawashauri vijana jobless wote humu waungane na masomo yako.
 
Sasa bila kuhonga utampata mwanamke gani wa maana mkuu?

Kama hutaki kuhonga utaendelea kula malapulapu maisha yako yote.
Kama unataka kula kitu roho inapenda kuhonga ni lazima,.

Hivi kweli mwanaume umkose mtoto mzr sababu ya laki Moja?

Kama hujipendi utakula marapurapu tuu.

Nishakuambia vaa vizuri, jijenge kiuchumi, kuwa na Maisha standard, jipende. Uone!

Wewe Kwa uelewa wako watu mashuhuri kama kina Diamond Wanahonga?
 
Safi mkuu, lakini umesahau betting nikama kuhonga tu, pesa nyingi zinapotea huko, Vijana Tubadilike.
 

Vijana wafundishwe wajitambue.
Vinginevyo wataishia kulaumu wanawake Kila siku Kwa ujinga wao.

Vijana wajinga ni fursa Kwa wanawake wakora.
Wasichana wasiojitambua ni fursa Kwa wanaume waharibifu
 
Imebidi niende kwenye uzi wa warembo wakali, uzalendo umenishinda.
 
Kwani mtoa mada kasema wanaume wasiwe kwenye mahusiano?!
 
Jmambo gumu sana kwa vijana wa leo anatoa elfu 3 ili apige video call kwa malaya apige nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…