mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Robert Heriel Mtibeli Kwa hiyo hata mchumba wangu,nisimsaidie? Mtu ambaye muda wote ananipa utamu (Tayari nammliki) au kuhonga unazungumzia kumpa mtu mpya ambaye nahitaji utamu kutoka kwake hapa ndio nakua nakosea??
Bro, Robert Heriel Mtibeli .
Heshima kwako tena.
Nina hoja bro. Ntaongea.
Ila kwanza Mapenz yafutwe Evelyn Salt .
Kama hutaki kuhonga utaishia kula malapulapuIt's not true, imeandikwa wapi?
Hivi unadhani mwanamke aliye timamu kichwani ashawishike kuwa na wewe Kwa kipi?Not true, where's that law written at? Ni mawazo tu ya kijinga ambayo tumejitungia lakini si ukweli hata kidogo.
Mbona nawala hao hao ninaokataa kuhonga tena na wengine ni wake zenu?Kama hutaki kuhonga utaishia kula malapulapu
Kwa taarifa yako, wanawake hao hao smart ndiyo nawala tena bila hata kachumbari na wengine ni wake zenu. Kuhonga ni ujinga na kawaida ufanywa na wanaume wasiojitambua. Mwanamke ni maongezi tu na maelewano hayo mengine like outing na vijizawadi vya hapa na pale ambavyo naye pia anatoa ni vya ziada. Unahonga ili iweje, wacheni huu ujinga jamani, mnatuhaibisha wenzenu tunaojitambua, mjuwe mnachekwa na hao wanawake.Hivi unadhani mwanamke aliye timamu kichwani ashawishike kuwa na wewe Kwa kipi?
Wakati anatongozwa na wanaume zaidi ya 10 Kwa siku?
Yaani wewe una nini so special umvue chupi bure bila kumshawishi Kwa chochote?
Wacha kujipa sifa usizokuwa nazo,Kwa taarifa yako, wanawake hao hao smart ndiyo nawala tena bila hata kachumbari na wengine ni wake zenu. Kuhonga ni ujinga na kawaida ufanywa na wanaume wasiojitambua. Mwanamke ni maongezi tu na maelewano hayo mengine like outing na vijizawadi vya hapa na pale ambavyo naye pia anatoa ni vya ziada. Unahonga ili iweje, wacheni huu ujinga jamani, mnatuhaibisha wenzenu tunaojitambua, mjuwe mnachekwa na hao wanawake.
Kwahyo wewe ni zaidi ya Michael Jackson au sio?Mbona nawala hao hao ninaokataa kuhonga tena na wengine ni wake zenu?
Aliyekudanganya Michael Jackson kuwa alikuwa rijali ni nani, si kila mwanamme anajuwa kutongoza. Tupo kina sisi tunaotongozwa, unashangaa kitu gani kwani?Wacha kujipa sifa usizokuwa nazo,
Huyo Michael Jackson alikuwa anahonga,
Usihonge wewe nani?
Yaani upendwe bila sababu ? Na huna kitu cha ku offer Kwa mwanamke zaidi ya dudu?
bado una akili za kitoto sana, sasa na hawa wanaonitongoza na kunihonga niwaiteje?Kwahyo wewe ni zaidi ya Michael Jackson au sio?
Usidanganye watu humu,,kama unahitaji mwanamke wa moyo wako lazima kumshawishi..
Labda uwale watoto wazuri Kwa punyeto.
bado una akili za kitoto sana, sasa na hawa wanaonitongoza na kunihonga niwaiteje?
Ukishakuwa ndipo utajuwa kuwa kuhonga mwanamke ni ujinga, si kosa lako....ishi uyaone.Sawa mkuu ,hongera Michael Jackson..
Really man kuhonga lazima.
Sawa mkuu,,kama kuhonga ni ujinga?Ukishakuwa ndipo utajuwa kuwa kuhonga mwanamke ni ujinga, si kosa lako....ishi uyaone.
Ndio ujanja, Mimi sasahivi nanunua, SIO eti unamhudumia kama mke huo NI upumbavuUnajua sex imekuwa Kama vile liabilities nakumbuka zamani kupata mwanamke ilikuwa inahitaji resources Kama Time , pesa na kuhudumia
But for now sex is everywhere kwahiyo MTU kuhonga anakuwa ni mjinga Sana hata ukiwa na 50 au 60 ni bora mkubaliane kabisa
Na after 10 yrs wanawake ndo watakuwa wanahonga wanaume ili wapate sex.
Kama ilivyo sasa hivi wanavyopigania ndoa .
Haohao wazuri mbona ukiweka dau unakula vizuri Tu unapita hivi. ? Na siku ukimuhitaji tena kama kawaida inaokoa gharamaSawa mkuu,,kama kuhonga ni ujinga?
wewe baki na kula malapulapu mkuu..
Ila ukitaka mtoto mtamu basi lazima utoboke mfuko.
Hata ukitaka ukinunuwa pori Kwa lengo la kulima ni lazima ung'oe visiki ukate magugu uweke mbolea ndy upande unachotaka.
Ni sawa na mwanamke lazima umtengenezee mazingira mazuri ya kukuamini na usalama wake na kutatua changamoto zake..