Ukiwa kwenye mahusiano na mtu maarufu Ni stress kwa kweli

Ukiwa kwenye mahusiano na mtu maarufu Ni stress kwa kweli

endelea kukumbuka

endelea kukumbuka
Nimekumbuka tayari!!!!!!!!!


aisee
sio rahisi
nampenda mume wangu sana

tangu nimeolewa 10 yrs ago
plus uchumba namjua tu mume wangu

life haliko fair kuna watu wapo single hawapati hata hi
ila wengine tupo ndoani chakari
mtu anakulilia dm

siliki nje
 
Huyu Maza si ana ndoa na alikopa mkopo wajenge nyumba mume wake akaandika jina la mwanae mwengine wa nje? Au nachanganya ma file

photographic memory can be a curse sometimes 🤣
 
Back
Top Bottom