Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wana MMU,
Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda.
Wengine moyo umechoka unaona kama dunia hii sio seheu yako, hata kufikiria huenda dunia haikuwa tayari kukupokea, lakini ukisaliwa unajibu aaah salama, umekamilisha salamu huyo unaenda zako.
Ukiwa mkweli kabisa, How are you? Unaendeleaje na hali?