I'm ok, considering the state of so many others that have less than me.
I'm alive, kuna wengi waliamka na mipango mingi ila sasa wamelala kwenye umauti, so I'm ok.
Kuna wengine wamelala vitandani kwa maradhi wakitamani kuwa na robo ya afya niliyonayo, so I'm really ok.
I'm ok, maana nimekula, inawezakana isiwe nilichotaka kula, lakini nimepata chakula. Kuna waliokuwa na njaa na hawana uwezo wa kupata hata theluthi moja ya nilichopata leo.
I'm ok, despite there being heavy rains, nina hakika nina pa kulala, inawezakana isiwe hekalu, lakini ni bora kuliko yule alie aidha kwenye mafuriko ama asie na pahala pa kulala kabisa.
I'm ok, maana nina familia inayonisubiri nyumbani, inawezakana kusiwe na vicheko tu huko nyumbani, but I know I have people to mourn and rejoice with, kuna ambao wana uchungu lakini hawana wakushea nao.
So, I'm grateful for what I have, inawezekana isiwe yale yote ninayoyataka lakini yananifaa kulinganisha na wengi ambao hawana kabisa. I'm ok in every sense of the word OKAY.