Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Wachape tu, maku yakwake, anayechapwa ni yeye, mimi naingiaje hapo sasa?Sasa huu ndo muda wa kuchapiwa, wewe ushazeeka mke bado mbichiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachape tu, maku yakwake, anayechapwa ni yeye, mimi naingiaje hapo sasa?Sasa huu ndo muda wa kuchapiwa, wewe ushazeeka mke bado mbichiiii
Jifariji tu hivyohivyo! Usije na id mpya kuomba ushauri huku uso umejaa machoziWachape tu, maku yakwake, anayechapwa ni yeye, mimi naingiaje hapo sasa?
Mnaumizwa na vitu kama hivyo au mapenzi kwa namna moja au nyingine huwa naona tayari mmeshajipata.Kimaisha kila kitu kiko sawa Alhamdulillah, nammiss tu mpenzi wangu aliye mbali. Nyie it's hard mtu unampenda halafu yuko mbali! Sikia tu.
Ahahahah... mimi niombe ushauri wa mapenzi kabisaaa?????? Aahhh !!Jifariji tu hivyohivyo! Usije na id mpya kuomba ushauri huku uso umejaa machozi
Unawezaje? Mimi mtu aliniambia ananiacha leo nimelia hadi makamasi🤣Ahahahah... mimi niombe ushauri wa mapenzi kabisaaa?????? Aahhh !!
Nikikupa intro kuhusu mtazamo wangu kwenye mapenzi utashangaa sana.
Kwakifupi katika priority zangu top 3 , mapenz hayapo for over 15 years na huyu niliye naye
Sure sure.......mkuu usishangae sana, kwakuwa changamoto nyingi, ziwe kubwa au mdogo zinatatuliwa Kwa pesa so Kwa majority tunaoishi below standard unakuta tunashindwa kuafford hata basic needs daily.......
........sasa sio rahisi wewe kila ukisalimiwantoka asubuhi unajibu mbaya, unakuwa ama unajichoresha so tunajibu kimazoea tu, hata saiz ukienda hospitali ukimuuliza mgonjwa vipi hali atakwambia mzuka sana hata kama kalazwa siku ya nne leo, hata mtoa mada usikute una hali ngumu ila unatushangaa sisi tunaojibu poa kwenye kila kitu......
😂😂😂😂😂😂😂Unawezaje? Mimi mtu aliniambia ananiacha leo nimelia hadi makamasi🤣
Hapa nimetuma paragraph kama wosia kuomba penzi lirudi
ooh my god why beautiful?very bad
I'm a one man woman, please.Hapo mtu akija akipiga sound tu jamaa kaula wa chuya dadeki
Umenikumbusha story!😂 Nilikua sehemu wanandoa wapo room kwao wanagombana ugomvi mkubwa wanaongea kwa sauti mimi nasikiA😂😂😂😂😂😂😂
Sio kitu kibaya kuoambania kitu ambacho kwako unakiona kina thaman. Si mbaya hata kidogo.
Ni vile tu vipaumbele vyetu vinatofautiana.
Kuna kipind wifi ako akatishia kuondoka ,nikamwambia we nenda tu hata usijali na kwakua ilikua usiku nikamwambia acha nikusaidie kukusanya vitu vyako nikamoigia na simu mama yake kuwa mwanao anakuja, wacha arudi mbio😂
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪u.o.n.g.oooooooooooI'm a one man woman, please.
Kuna vitu sio vya kufanya uumie kichwa hata kidogoUmenikumbusha story!😂 Nilikua sehemu wanandoa wapo room kwao wanagombana ugomvi mkubwa wanaongea kwa sauti mimi nasikiA
Kama kawaida wanawake tunapenda kutikisa kibiriti, huyo mke akamwambia mume wake "kuna wanaume wanapesa kukuzidi wananitaka, kuna mmoja ni daktari ananililia sana ila namkatalia kukuheshimu wewe"
Mume mtu akamwambia "Nipe namba ya huyo daktari"
Mke sasa akasema "wewe ya nini, unataka kumtukana sio?"
Mume akasema "nataka namba yake nimpigie aje kukuchukua"
😂Nilicheka sanaa..! Mwanamke pozi lilimuisha
Tukaamka asubuhi mpaka kesho yupo hajaondoka
Sawa tutathibitisha ukiweza kataa sound sio kwa haya maneno empty hapaI'm a one man woman, please.