Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

I'm ok considering the state of so many others that have less than me.

I'm alive, kuna wengi waliamka na mipango mingi ila sasa wamelala kwenye umauti, so I'm ok.

Kuna wengine wamelala vitandani kwa maradhi wakitamani kuwa na robo ya afya niliyonayo, so I'm really ok.

I'm ok, maana nimekula, inawezakana isiwe nilichotaka kula, lakini nimepata chakula. Kuna waliokuwa na njaa na hawana uwezo wa kupata hata theluthi moja ya nilichopata leo.

I'm ok, despite there being heavy rains, nina hakika nina pa kulala, inawezakana isiwe hekalu, lakini ni bora kuliko yule alie aidha kwenye mafuriko ama asie na pahala pa kulala kabisa.

I'm ok, maana nina familia inayonisubiri nyumbani, inawezakana kusiwe na vicheko tu huko nyumbani, but I know I have people to mourn and rejoice with, kuna ambao wana uchungu lakini hawana wakushea nao.

So, I'm grateful for what I have, inawezekana isiwe yale yote ninayoyataka lakini yananifaa kulinganisha na wengi ambao hawana kabisa. I'm ok in every sense of the word OKAY.
Insightful and deep. Well written.
 
FB_IMG_1713644324332.jpg
 
........a good comment for this month......
 
Mbona uzi umekaa kimitego sana😃
Hali njema Mkuu.
Sema ni hivi, unajua kibinadamu huwezi kosa dosari ukawa fiti fitings, kwahiyo kama unapumua sema alhamdulillah.
Ukisema sina ela kuna mwingine anayo ila anaugulia kidole
Ukisema unaumwa kucha mambo yote safi, kuna mwingine haumwi ata mkono ila mambo mengine ovyo mbaya.
Ni sehemu tu ya kupumua na kupunguza stress yasije kukuzidi sababu ya kukosa sehemu ya kutapika, mara moja moja unatoa ya moyoni
 
Kimaisha kila kitu kiko sawa Alhamdulillah, nammiss tu mpenzi wangu aliye mbali. Nyie it's hard mtu unampenda halafu yuko mbali! Sikia tu.
Hapo mtu akija akipiga sound tu jamaa kaula wa chuya dadeki
 
Aisee kuna rafiki yangu yeye kila muda utasikia demu wangu sijui nini sijui hivi yaani mapenz moto moto.
Sasa nikawa nashangaa huyu jamaa vp kama ndio mara ya kwanza.
Akaenda kumwambia rafiki yake Daah mwanangu ninanipitia kipindi kigumu kola demu ananichomolea sina demu hapa😂😂.
Akaja kunielezea na mm. Nikaja kugundua yaani ukiona mtu anajisifu sana kuhusu Mpenzi wangu sijui hiv sijui vle wengi sio wote wanapitia depression sana ya mahusiano.
Mimi nipo swafi salama mvua tu hata chipsi watu hawanunui
 
Kimaisha kila kitu kiko sawa Alhamdulillah, nammiss tu mpenzi wangu aliye mbali. Nyie it's hard mtu unampenda halafu yuko mbali! Sikia tu.
[QUOTE="Nifah, post: 50040852, member: 207619"
........pole mamii, kwani yupo mbali sana!!......
 
Niko poa kabisa....

Nimetoka kujipikilisha hapa...

Nimekula nimeshiba...

IMG_20240422_160416.jpg

Kinachofuata sasa ni kitandani, its me and my heating laptop...

Na hili baridi la dar, kukosa wa ubani inatesa sana..

Si ajitokeze manzi mmoja tufanye sleepover😋
 
Tatizo hii hali ya hewa unachelewa kutoka kitandani unakata sana kiuno
Nguvu ya kazi utatoa wapi
Ahahahahahahahahahahahahahh. Hapana bwana, mimi viuno nishavuka umri wa kuviendekeza. Mfano hata nsipokua na ratiba ya kutoka like weeknd, naamka asubuh naingia shamba nalima mpaka around saa 6 toka 12 nakunywa chai natulia na madogo kupiga hesabu maana mpaka logarithm nazikumbuka mpaka leo.

Viuno sio sana, ukishafkka umri huu moja ya vitu vya kuounguza sana ni ngono.
 
Sasa huu ndo muda wa kuchapiwa, wewe ushazeeka mke bado mbichiiii
 
Back
Top Bottom