Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

Kimaisha kila kitu kiko sawa Alhamdulillah, nammiss tu mpenzi wangu aliye mbali. Nyie it's hard mtu unampenda halafu yuko mbali! Sikia tu.
Mpenzi wako yupo sokoni
 
Hacha kuleta mahubiri hapa! Una hela! Malazi, makazi, familia unaimudu! Ndo tunataka
 
Hacha kuleta mahubiri hapa! Una hela! Malazi, makazi, familia unaimudu! Ndo tunataka
Punguza ghadhabu chief. Kwa vile siku/maisha yako yanakwenda vibaya usifosi iwe hivyo kwa kila mtu.

Uwe na jioni yenye amani ndugu.
 
Ukweli kabisa kutoka moyoni utauexpose kwa mtu tu barabarani asiye mwandani wako?

Tangu dunia ianze kustaarabika haijatokea hivyo hata kwa wahenga.

Utamaduni wa salamu ni mfumo uliowekwa wa kiubinadamu kuonesha upendo na nidhamu, lakini si kwa malengo ya kuelezeana madhila na madhaifu pamoja na changamoto zetu zinazotukabili.

Baada ya salamu, changamoto na shida huelezwa kwa mtu mahususi anayeweza kushauri ama kuzitatua, siyo ovyo ovyo tu kwa mtu yeyote usiye na nasaba naye.

Pia ukumbuke salamu zimegawanyika kama sehemu mbili: kuna inayotolewa kwa indivisual na kuna ya public, mfano wa mwalimu kaingia darasani na kusalimia,...'wanafunzi hamjamboo?' na wanafunzi wanaitikia kwa mkupuo...sasa hii emb ijengee hoja maana nayo ni salamu vile vile.
 
Bado najiuliza kwanini haya yote yanatokea... nimejaribu kupambana nayo ila nmeshindwa, nmeamua kukaa tuu nione itakuaje
 
Mi kuna wakati baadhi ya simu/message huwa sijibu kwasababu sitaki kuulizwa kama niko poa nianze kudanganya I'm owwkey while I'm not, wala sitaki kuambia kila mtu ukweli either.

Nimeanza wiki na some really great news, mastress yaliyokua yamekomaa na mimi tokea last year are no longer an issue, so...niko poa sana!😊

Na wewe vipi Cute Wife ...how is you??
 
Kufunguka muhimu
 
I miss you Miss Dr Lizzy πŸ™‚
 
Mi pia Manyanza πŸ™‚
Ni wewe ulikua umejificha au ni mimi nimepunguza kuzurura humu jukwaani??
Jamiiforums ni kubwa sana Miss Lizzy, yawezekana nilikuwa England kule Liverpool, wewe ulikuwa zako home kwako Selfika tu. Lakini tumekutana hapa MMU πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…