Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

Jamiiforums ni kubwa sana Miss Lizzy, yawezekana nilikuwa England kule Liverpool, wewe ulikuwa zako home kwako Selfika tu. Lakini tumekutana hapa MMU πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Possibly πŸ™‚
Mie siku hizi nacheza na new post/trending tu...hata huwa sijui nimeingia chumbani gani.😁
Ila selfika pamepoa sana siku hizi, hata nikiingia kwa wiki x 2 inatosha.
 
Possibly πŸ™‚
Mie siku hizi nacheza na new post/trending tu...hata huwa sijui nimeingia chumbani gani.😁
Ila selfika pamepoa sana siku hizi, hata nikiingia kwa wiki x 2 inatosha.
mwanamke nimpendae mimi hujamboo?
 
Nina angamia, Uchumi, Mapenzi, Kila kitu ni left, Ila we move regardlessly... Tunatumia mkongojo na kuendelea kutembea na kupambana na maisha
Pole jamani, omba msaada unapokwama, mara nyingi wa kutusdaidia wapo karibu yetu ni vile tu hatuongei... ila muhimu kabisa usikate tamaa
 
Nimependa hii Mkuu, na Mungu akuongezee baraka tele
 
Kwani hata ukiwaambia Hizo stress watakusaidia?ni kula buyu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…