Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
hahahaha hili nalo ni kwanini? maana hata mie nimelionaNinacho fahamu mimi ni kuwa, watu wengi Maarufu, wamezaa watoto wa kike kwanza...!!
sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna ka ukweli humo
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Wazo la mjinga huwa aisee. Ni kama nauona UKWELI hivi, mmmmh.Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Jamaa kasema kweliAlafu watoto wenyewe wanakuwa wazuri balaa.
Inaitwa kama tadinu tudanuu. washkaji zangu wote wale chovyachovya wana watoto wa kike tena wote byutifuli.unachomfanyia mtoto wa mwenzio jua iko siku na wakwako atafanyiwa.mi ndo maana nimeamua kutubu mapemaaa kabla sijaanza kutagishaJamaa kasema kweli
Nikitizama home kwetu baba zangu viwembe wameanza na Toto za kike na wangu akiwemo, ninaowafahamu wakaka karibu wote wameanza na jinsia hiyoInaitwa kama tadinu tudanuu. washkaji zangu wote wale chovyachovya wana watoto wa kike tena wote byutifuli.unachomfanyia mtoto wa mwenzio jua iko siku na wakwako atafanyiwa.mi ndo maana nimeamua kutubu mapemaaa kabla sijaanza kutagisha
Tru dat.uzinzi sio dili.Nikitizama home kwetu baba zangu viwembe wameanza na Toto za kike na wangu akiwemo, ninaowafahamu wakaka karibu wote wameanza na jinsia hiyo
My kaka kwani vipi, hebu nitajie idadi yako nikwambie kama ndie au la!!!Kwa wakati mmoja au kwa maisha yake?
Maana naweza kuwa nimetembea na wanawake 2 ila huyu wa pili ndiye mke wangu hapo pia mimi malaya? Hahaha