Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Ninacho fahamu mimi ni kuwa, watu wengi Maarufu, wamezaa watoto wa kike kwanza...!!
 
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..

Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..

Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu

Mtoto wa kwanza wa Diamond Platinumz ni wa jinsia gani?
 
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..

Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..

Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Wazo la mjinga huwa aisee. Ni kama nauona UKWELI hivi, mmmmh.
 
Jamaa kasema kweli
Inaitwa kama tadinu tudanuu. washkaji zangu wote wale chovyachovya wana watoto wa kike tena wote byutifuli.unachomfanyia mtoto wa mwenzio jua iko siku na wakwako atafanyiwa.mi ndo maana nimeamua kutubu mapemaaa kabla sijaanza kutagisha
 
Nikitizama home kwetu baba zangu viwembe wameanza na Toto za kike na wangu akiwemo, ninaowafahamu wakaka karibu wote wameanza na jinsia hiyo
 
Kwa wakati mmoja au kwa maisha yake?

Maana naweza kuwa nimetembea na wanawake 2 ila huyu wa pili ndiye mke wangu hapo pia mimi malaya? Hahaha
My kaka kwani vipi, hebu nitajie idadi yako nikwambie kama ndie au la!!!
 
Hahahaaaa!! Nyani Ngabu
Eli79 nk hebu mkuje mtuambie ni kweli au sio kweli?

Kwa akili za Kitanzania na kwa akili za 'team Mange kasema' huenda ikawa ni kweli.

Lakini wenye akili zao watahoji hivi....uhusiano wa moja kwa moja wa kibaiolojia ni upi? Uko wapi?

Hapo ndipo utaiona tofauti kati ya akili yenye akili na akili isiyo na akili.

Nuff said.
 
Back
Top Bottom