Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Duniani kote ni hivyo.It's natural.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 

Nipo relatable katika haya ninayoyajadili.

Akili kubwa in men.
Nikutambua thamani ni nguvu uliyonayo kutojiingiza kwenye dili lolote litakalo kupa shida.

Kwenye ndoa kuna mnunuaji na mnunuliwaji .

Tuache huko.
Hebu ngoja nijaribu kuwa relatable kidogo na maisha haya ya kipindi hiki.

Niliuliza unipe aina za wanawake sikumbuki ulijibu nin!
Ila mimi naweza nikasema tuna

Traditional na Modern women.

Traditional ni wale ambao wanakuwa considered weak na kuna agenda nyingi zakuwabadilisha. Naishia hapa.


Modern shit women.
Hawa ni dilussional
Unaweza ukawaita niggaz with attitude.
Wengi wao ni singo mama
Strong independent
Huwa wanajiona ni vichwa but deep down ni empty set.

Mara nyingi hawajui walitakalo.

Usawa wa hao wote wawili upo wapi.

Hayo makundi mawili usawa upo wapi?

Wote wawili kitu kinachokamilisha life ni kile kile.
Mambo yanayo wakeep happy ni yale yale.

Mambo hayo ni:
1. To serve and please a man
2. To submit to a man
3. To follow a man lead.
Etc.

Haya ndio mambo yanayomkeep mwanamke happy

Hii ni universal formula utake usitake.

Nakupa nafasi fuatilia.
Anza na strong independent shit women
They are not happy!
Walidhan mwanaume mwenye akili kubwa atavutiwa na mwanamke mwenye kitambi na multiple degree za ugavi mwanamke asiyejua nafasi yake ni hipi kwenye relationship.
 
Why nisioe ?

Bila kujali tafsiri yako ya ndoa.

Kwasababu wewe ni watofauti you are not like everybody else.
Hufuati mkumbo
Wala mhemko
Wala shinikizo kutoka dini yoyote!

Mimi sijui kwann usioe.
Nimekupa sababu kwann nisioe.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] jamaa alikuwa sahihi kusema kataa ndoa wote ni fools, kama hii judgement yako ndo inayokufanya ukayae kuoa.

Kuna kitu umekiongea hapo juu nilijua unajua, kumbe ni maneno au either una dharau wanawake.

Hatimae
Challenge accepted.

I'll take it as a complement bro!
 
Mkuu kwa mawazo haya itoshe tu kusema pole na baki na unayoyaamini kwa sababu i have already known what type of man i am dealing with, sorry to say this but you are still living in fantasies and not the reality, and the modern world (with modern women in it ofcourse) has changed and there is nothing you can do about it, nimekutana na wanawake wengi ambao their happiness is far from "pleasing a man" (including me) and i know what i am talking about, yani mimi najadili uhalisia wewe unaleta story za mitandaoni za wanaume wanaojifariji.. pathetic!!
 
Stupid
 
NDOA ni kitendo cha watu wawili kukaa pamoja na kuanza kutatua MIGOGORO na MATATIZO ambayo kama wasingeoana WASINGEKUA NAYO.

kwa hapa tz huwezi pata manzi mwenye akili kubwa kwenye mahusiano kwasababu mahusiano hayaitaji akili kubwa....ukishakuwa na akili kubwa yaani ya ku-reason vitu basi kila kitu utaona ni ujinga.
 
Mdada akiniuliza nafanya kazi gani, na-assume huyo ni golddigger ananipendea hela tu, ndo maana naanza kutoa macho MELEKAHE
 

Remember.

The wall is undefeated.
 

Sikuzote mmekuwa mkitumia biblia kujustfy au kutetea nonsense.

Uhitaji kuwa na phd ya theology ili kudecode kwamba solo haku oa wanawake 1000 ila alizagamua mabikra 1000.

Solo alizagamua mabikra 1000.

Sina hakika na hiyo idadi.

Hakuwa akiishi kwa misingi ya ndoa kama hizi za sasa.


Ndoa za kwenye bible na hizi za kina manara ni vitu viwili tofauti.

Huo mfano wa wanyama unaonesha jinsi gani ndoa.hazi make sense brother.

Punguza makasiriko brother.
 

Wakat nayeye atakuwa anaishi kimkakati kama wewe!

Cha kwanza atahakikisha anaku emasculate.

Cha pili atapambana unapoteza mvuto kwa kukupikia mavitu ya ovyo unanenepeana .

Cha tatu atahakikisha unapoteza ngufuu. Elewa ngufuuu.
 
Sina makasiriko ,elewa sie Ni wanyama,hao ambao sio binadamu unawazidi only conscious mind which is 5% while subconscious mind which is almost 95% tunafanana.
Pia mie sijakukataza unaweza usioe,unaweza ukaoa ukawa unaenda na mkeo vitani, ama porini kuwinda wote na ilhali jogoo anatafuta chakula anampatia mtetea ,na ilhali mbwa dume wanapigania kula jike, na hata wanaume wanapigana na kuuana kisa Maku.


Nikuambie tu kitu huwezi shindana na asili ama kilichoumbwa na Mwenyezi utapinga Ila Kuna muda utakutana na mtt ametulia utashangaaa hizi akili zote zinaisha kabisa unajisahau.


Huwezi jua why magnet attracts magnetic materials.
You can't know why planets revolve around the sun.
Utashangaaa binadamu akatoa ama akatengeneza narrative just to satisfy his ego as if he's above the universe.
Unajua mechanism ya wewe kuumbika tumboni.

Yaani achana na nature huwezi pingana nayo ama ukairekebisha.

Na ndio Mana yesu alisema kuwa dunia utaondoka Ila Hakuna hata neno ama nukta Kama sio yodi moja utakayoondolewa katika neno.
 
🙄 upo sawa mkuu , ila mimi nili maanisha ndoa ya kisheria, na sio kuishi na mwanamke ,, yani ndoa ndani ya sheria zinazoegemea upande mmoja .

Hiyo ya kutamani kuzaliwa wa kike ni wewe umesema sio mimi mkuu.
Mwanamke Yuko chini ya mwanaume hata nguvu tu halingani,hata matajiri duaniani,hata wasomi ama wanasaysansi pia. Sema huwa anajitutumua Mana kiasili kila nafsi inapenda ijisikie Ni ya muhimu kuliko nyingine
 

I just wanna let you !

What is something in common with kataa ndoa men.

1. We are not against marrige but the system.

2. We are smart (busines wise) hatukujiingiza kwenye mkataba wa kipumbavu.

3. We are straight as Fu*k

4. We are strong and attractive
We are not inscure to keep a woman by contracts and shit.

5. Our masculinity level is on top eiffel tower.
We are not cringe and possesive ,we are only dealing with.women who are extremely attracted to us.

6. Self worth and value.
I do understand my value when it comes to relationship and interaction with others.

7. Purpose in life is the only thing that acomplish our life.
Loving a woman is just an extra thing.
Nimesema loving a woman.

8. We are automatically driven toward a feminine woman. Ambapo ni wachache sana.

9. We are easly getting women.
We are the type of men women need.

10. Sex is not a big deal to us.

11. We are always sorrounded by real people.

12. We look extremly attractive to women najua hauwezi kunielewa.


Hao ndio waKataa.ndoa wengi ambao.mimi nawajua.

Note: sio kila mtu anaweza kuafford kukataa ndoa zingatia hilo!
 

Ahsante
Nimejua nina deal na God believer.

Mungu wako alisemaje kuhusu ndoa brother.
 
Remember.

The wall is undefeated.
Haha ajabu sana mkuu yani wewe hutaki kuoa na unajaribu kuwashawishi wanaume wenzio wasioe ili ionekane kama vile wanaume hawawahitaji wanawake, ila hapo hapo unalazimisha wanawake waolewe na kufanya ionekane kama vile wanawake ndio wanawahitaji wanaume, sasa ili nikuoneshe kwamba wewe ni mmojawapo ya wanaume niliowaongelea kuwa hamna logic niambie hao wanawake mnaotaka waolewe wataolewa na kina nani ilihali hamtaki wanaume waoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…