Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
Nakubaliana nawewe mkuu.Naungana na wewe, changamoto ni pale unapohitaji mtoto halafu hutaki kuoa, malezi huwa yanasumbua.
Kwa mnaotaka watoto huwa mnakuwaga na changamoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawewe mkuu.Naungana na wewe, changamoto ni pale unapohitaji mtoto halafu hutaki kuoa, malezi huwa yanasumbua.
Mkuu mimi sidhani kama aina ya watu inakuwa categorized kutokana na namna wanavyokuwa treated bali ni kutokana na matendo na tabia zao, kwahiyo hilo la kusema kikitokea kitu wanaanza wanawake na watoto siyo kigezo cha kucategorize watu maana hapo utakuwa unasema kwamba wanawake na watoto wako sawa kwa sababu tu kitu kikitokea wanatangulizwa wao kwanza, na hata hivyo hiyo siyo universal law maana hata usipofanya hivyo hutahukumiwa mahali popote pale kwahiyo mimi naona hapa tuongelee matendo na tabia mkuuNimepita sehemu hapa nimekuta
Wanapiga nyimbo hii. TLC-Scrub
Scrub is the bla bla bla bla wame mdefine.
Scrub ni aina fulani ya wanaume.
Uliwahi kusikia kuhusu bad boys
Nawao pia wapo .
Nice guys?
Nawao pia wapo na ni wengi mno humu ndani.
Pimp pia tupo humu.
Finally kuna good men.
Wapo wengi sana humu.
Mimi nawajua good men humu wengi sana.
Mimi nimetaka wewe uniambie type hata moja ya wanawake unieleze characteristics zao mkuu.
Mimi ninachoamini wanawake wote ni sawa.
Mifano ni mingi mno
Likitokea tatizo popote pale utadikia wanawake na rwatoto kwanza
Then wazeee.
Wakina sisi tutakao baki ni mwenye nguvu.
Mifano ni mingi sanaaa.
Machoni pa mwanaume mwanamke mwenye range na vits wote ni sawa tu.
Usawa kwa jicho la sisi wanaume tunavyowatazama kama wanawake .Aina zao ni zipi na huo usawa wa wanawake uko wapi
Dooh bado unaongelea treatment tu mkuu, ni vitu gani hivyo wanawake wanataka na hawavistahili, make this make sense bruhKama ulinizingatia vema nilichoandika utagundua kuwa nilisema wanawake wote ni high value
You know why?
Let me xcul you!
Wanawake wana vingi vyakuoffer kuliko wanaume kweny huu ulimwengu.
Wana umuhimu mkubwa sana katika kuendeleza generations na mambo mengi
Technically wanawake wote walikuwa pritected kwenye tawala za kifalme.enzi na enzi
They were all treated the same.
Haya unayoyaona leo hii ni matokeo ya women kuwa rebelion. Kutaka kitu wasichostahili.
Come on sis dont you see how we treat our mothers and sisters outa here.
Yall queens.
Ika wafalme ni wachache
Wafalme ndio waliokuwa na jukumu la kuendeleza vizaz iliaminika mwenye akili atazaa wenye akili. Mwenye nguvu/king ndiye aliyekuwa na wanawake wengi ma watoto
Wapumbav hawakuruhusiwa kuzaa ovyo.
You see men were not treated the same tokea enzi.
kwenye kifungu cha mwisho kabisa cha mleta mada rudia kusoma.Kuna kitu hakiwekwi sawa. Inshu siyo akili kubwa. Inshu inatumikaje ndani ya familia. Ni kweli kabisaa ukiwa mtu wa kufikiri kila anachofanya au kusema mwenza wako ukakipeleka ktk mizania ya elimu yako na akili zako hakika hamtafika. Tafakari mtu ana elimu kubwa labda ni PhD + halafu ameajiriwa kwa hiyo elimu yake na ana watumishi chini yake ambao wako chini yake si kwa kigezo Cha umri bali kwa elimu yake.
Then nyumbani kaoa mtu aliyeishia elimu ya chini kabisaa mbali na mumewe. Unafikiri huyu mwanamke atakuwa na ufikiri sawa wa akili na mumewe? Hasha lazima watapishana. Sasa mume hatakiwi kutumia akili zake za madarasa kudili na huyo mkewe. Anatakiwa atumie maarifa zaidi kuliko akili yake kubwa. Ni hivyo hivyo kwa mwanamke mwenye elimu kubwa na mume mwenye elimu ndogo.
Hoja hapa ni kuwa akili kubwa inatakiwa kutumika ku deal na elimu ndogo vinginevyo mkitumia logic ndoa inavunjika mapema sana
Neno akili kutumika bila definition wala muktadha inakuwa vigumu sana kufanya mazungumzo yenye tija.Mleta mada, kusema mwsnamke mwny akili unamaanisha nini?
Haya ni maoni kuwa mkiwa na akili wote hamtawezana.
Mkuu mimi sidhani kama aina ya watu inakuwa categorized kutokana na namna wanavyokuwa treated bali ni kutokana na matendo na tabia zao, kwahiyo hilo la kusema kikitokea kitu wanaanza wanawake na watoto siyo kigezo cha kucategorize watu maana hapo utakuwa unasema kwamba wanawake na watoto wako sawa kwa sababu tu kitu kikitokea wanatangulizwa wao kwanza, na hata hivyo hiyo siyo universal law maana hata usipofanya hivyo hutahukumiwa mahali popote pale kwahiyo mimi naona hapa tuongelee matendo na tabia mkuu
Hapa kinachoangaliwa specifically ni matendo na tabia za wanawake towards wanaume wao je wanawake wote wako sawa na je wanawake wote wana uwezo sawa na kufikiri na kuchanganua mambo, hiyo kauli ya kwamba mwanamke kwenye vits na mwenye range wote wako sawa mbele ya mwanaume jisemee wewe na si wanaume wote huona hivyo, wewe una uhuru wa kuona chochote lakini siyo lazima kiwe na uhalisia kwa sababu hilo la wanawake wote kuwa sawa ni mawazo binafsi tu ya baadhi ya wanaume na si kwamba ndio uhalisia
Wanawake wanatofautiana kwa vingi sana hata kama hizo tabia zao hazijawa categorized kwa majina though kuna some sources zinasema kwamba hizo categories za wanaume kama alpha, beta na sigma zinaweza kutumika pia kwa wanawake kulingana na tabia zao as in kuna wanawake ambao ni authoritative na hawapendi kupelekeshwa, na kuna wanawake ambao ni submissive na wanapenda kuwa chini na kutawaliwa na wanaume sasa sijui wewe unaishi sayari gani hiyo ambayo wanawake wote wako sawa katika kila kit
Naomba Khantwe atusaidie hapa.Neno akili kutumika bila definition wala muktadha inakuwa vigumu sana kufanya mazungumzo yenye tija.
Akili ni nini?
Kati ya upande mmoja mwanamke anayeamua kuacha kuangalia simu ya mume wake, licha ya kuweza kuangalia, kwa sababu anajua atakutana na madudu gani humo, na yeye kipaumbele chake ni kukaa kwa amani kwenye ndoa, na upande mwingine mwanamke anayepekua simu ya mumewe, na kukutana na madudu ya kuvunja ndoa, na akaishia kuvunja ndoa, kwa sababu yeye hataki ndoa ya mume ku cheat, hapo nani ana akili?
Wanawake hao wawili wamefanya mambo tofauti kabisa.
Kati yao, under ceteris paribus, Standard Temperature and Pressure, all other things being equal, nani ana akili?
Now daysUkweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Click to expand...
Marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools.KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Halafu jambo la kipumbavu likitamkwa kwa kizungu linaonekana la maana Sana sijui kwanini!Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Mambo ya 50/50, women empowerment wanavyofundishwa mashuleni na zile tamthilia wanazoangalia Azam tv zinawafanya wanawake wajione wapo juu ya wanaume zao. Poor society!!!Mke wa brother ameondoka kwao baada ya mume kukataa kujishusha.
Kitu cha ajabu sana mwanamke anatoroka kurudi kwa wazazi wake kisa tuu ameshindwa kumtawala mume kwa kila namna.
Ndoa za siku hizi zimekuwa za ajabu ajabu sana
huwezi fanya maisha na mwanamke wa namna hiyo aisee. Avoid a controlling woman by any means.Mke hajawahi kupigwa, kutukanwa, hajawahi lala njaa, still anataka amcontroll mume kipato chake, simu zake, wazazi wake.
Sasa hizo sifa ni kama tu zile za kusema kwamba wanaume wote wana tamaa, au wanaume wote wanapenda kuheshimiwa na wanawake zao, hivyo na sisi kwa muktadha huo tukisema kuwa wanaume wote ni sawa tutakuwa tunakosea mkuuUsawa kwa jicho la sisi wanaume tunavyowatazama kama wanawake .
Kwamba kuna namna tu mnadeka kike mnahitaji kusaidiwa , kubembelezwa , kuwajali .
Kwenye hiyo pointi mnapokutania apo sisi wanaume tunaona nyie wote ni sawa bila kujali elimu , uwezo wa kuchambua mambo kusaka noti na mambo kama hayo ,ambayo kwetu sisi wanaume hayana umuhimu wowote linapokuja jambo la kuwataka nyie kama wanawake.
Na bado mnatushauri tuoe hahahahahTena Wazazi wake ndio wamemtumia nauli ya kwenda home kupumzika. Kwamba mwanao anateseka kwenye ndoa. Mke hajawahi kupigwa, kutukanwa, hajawahi lala njaa, still anataka amcontroll mume kipato chake, simu zake, wazazi wake.
Una umri gani mkuu ?
Umeshawai jaribu kuishi na akili ndogo ?naelekea 40, nshajaribu miaka miwili ilikuwa kama miaka 20!
Hata mkeo tunalala naeFools sleep with everybody they come across, marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools, wanalala na demu yeyote yule
😁😁😁Sasa hizo sifa ni kama tu zile za kusema kwamba wanaume wote wana tamaa, au wanaume wote wanapenda kuheshimiwa na wanawake zao, hivyo na sisi kwa muktadha huo tukisema kuwa wanaume wote ni sawa tutakuwa tunakosea mkuu
Kulala na mke wa mtu sio sifa njemaHata mkeo tunalala nae