Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Mkuu mimi sidhani kama aina ya watu inakuwa categorized kutokana na namna wanavyokuwa treated bali ni kutokana na matendo na tabia zao, kwahiyo hilo la kusema kikitokea kitu wanaanza wanawake na watoto siyo kigezo cha kucategorize watu maana hapo utakuwa unasema kwamba wanawake na watoto wako sawa kwa sababu tu kitu kikitokea wanatangulizwa wao kwanza, na hata hivyo hiyo siyo universal law maana hata usipofanya hivyo hutahukumiwa mahali popote pale kwahiyo mimi naona hapa tuongelee matendo na tabia mkuu

Hapa kinachoangaliwa specifically ni matendo na tabia za wanawake towards wanaume wao je wanawake wote wako sawa na je wanawake wote wana uwezo sawa na kufikiri na kuchanganua mambo, hiyo kauli ya kwamba mwanamke kwenye vits na mwenye range wote wako sawa mbele ya mwanaume jisemee wewe na si wanaume wote huona hivyo, wewe una uhuru wa kuona chochote lakini siyo lazima kiwe na uhalisia kwa sababu hilo la wanawake wote kuwa sawa ni mawazo binafsi tu ya baadhi ya wanaume na si kwamba ndio uhalisia

Wanawake wanatofautiana kwa vingi sana hata kama hizo tabia zao hazijawa categorized kwa majina though kuna some sources zinasema kwamba hizo categories za wanaume kama alpha, beta na sigma zinaweza kutumika pia kwa wanawake kulingana na tabia zao as in kuna wanawake ambao ni authoritative na hawapendi kupelekeshwa, na kuna wanawake ambao ni submissive na wanapenda kuwa chini na kutawaliwa na wanaume sasa sijui wewe unaishi sayari gani hiyo ambayo wanawake wote wako sawa katika kila kitu
 
Aina zao ni zipi na huo usawa wa wanawake uko wapi
Usawa kwa jicho la sisi wanaume tunavyowatazama kama wanawake .

Kwamba kuna namna tu mnadeka kike mnahitaji kusaidiwa , kubembelezwa , kuwajali .

Kwenye hiyo pointi mnapokutania apo sisi wanaume tunaona nyie wote ni sawa bila kujali elimu , uwezo wa kuchambua mambo kusaka noti na mambo kama hayo ,ambayo kwetu sisi wanaume hayana umuhimu wowote linapokuja jambo la kuwataka nyie kama wanawake.
 
Dooh bado unaongelea treatment tu mkuu, ni vitu gani hivyo wanawake wanataka na hawavistahili, make this make sense bruh
 
kwenye kifungu cha mwisho kabisa cha mleta mada rudia kusoma.
nafikiri tunazungumzia akili na sio elimu.
umesimama kwenye elimu kitu ambacho sio hoja yetu!
 
Mleta mada, kusema mwsnamke mwny akili unamaanisha nini?

Haya ni maoni kuwa mkiwa na akili wote hamtawezana.
Neno akili kutumika bila definition wala muktadha inakuwa vigumu sana kufanya mazungumzo yenye tija.

Akili ni nini?

Kati ya upande mmoja mwanamke anayeamua kuacha kuangalia simu ya mume wake, licha ya kuweza kuangalia, kwa sababu anajua atakutana na madudu gani humo, na yeye kipaumbele chake ni kukaa kwa amani kwenye ndoa, na upande mwingine mwanamke anayepekua simu ya mumewe, na kukutana na madudu ya kuvunja ndoa, na akaishia kuvunja ndoa, kwa sababu yeye hataki ndoa ya mume ku cheat, hapo nani ana akili?

Wanawake hao wawili wamefanya mambo tofauti kabisa.

Kati yao, under ceteris paribus, Standard Temperature and Pressure, all other things being equal, nani ana akili?
 
Ngoja nitafute pakuanzia
 
Naomba Khantwe atusaidie hapa.
 
Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.

Hapo uliposema "mpaka ujishushe"

Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness

A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)

Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.

KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You, MFALME WETU, Tripper and 11 others

[IMG alt="Kambi ya Fisi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/475/475260.jpg?1685967329[/IMG]

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member​

KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools.

Kicheko Quote Reply
Report
Reactions:You, Mr Miller, King Sae and 12 others
Mpaka hapa ubao unasoma kataa ndoa 11 vs ndoa Γ±i baraka 12
 
Halafu jambo la kipumbavu likitamkwa kwa kizungu linaonekana la maana Sana sijui kwanini!
 
Mke wa brother ameondoka kwao baada ya mume kukataa kujishusha.

Kitu cha ajabu sana mwanamke anatoroka kurudi kwa wazazi wake kisa tuu ameshindwa kumtawala mume kwa kila namna.

Ndoa za siku hizi zimekuwa za ajabu ajabu sana
Mambo ya 50/50, women empowerment wanavyofundishwa mashuleni na zile tamthilia wanazoangalia Azam tv zinawafanya wanawake wajione wapo juu ya wanaume zao. Poor society!!!
 
Sasa hizo sifa ni kama tu zile za kusema kwamba wanaume wote wana tamaa, au wanaume wote wanapenda kuheshimiwa na wanawake zao, hivyo na sisi kwa muktadha huo tukisema kuwa wanaume wote ni sawa tutakuwa tunakosea mkuu
 
Sasa hizo sifa ni kama tu zile za kusema kwamba wanaume wote wana tamaa, au wanaume wote wanapenda kuheshimiwa na wanawake zao, hivyo na sisi kwa muktadha huo tukisema kuwa wanaume wote ni sawa tutakuwa tunakosea mkuu
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…