Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Toka nimeingia jiji la dar kutoka mkoani miezi michache iliyopita, Hatimaye nimenunua gari yangu ya kwanza hivi karibuni ikabidi kwanza niitest chombo kwa kutembea sehemu mbalimbali nikiwa na mwenyeji wangu hapa dar.
Aisee kila sehemu naona ni karibu mno tofauti na nilivyofikiria na ku-experience wakati sina gari, Hii imenifanya kukiri kuwa kuna watu hapa dar hawapendi kununua viwanja vilivyo mbali ya mji sio kwasababu ya huduma za kijamii hazijafika NOO! shida hana gari la kumfikisha anapotaka kwa haraka hivyo anaona ni bora akae nyumba za kupanga maeneo ya karibu na barabara alipe kodi ya laki mbili, tatu mpaka nne kisha adandie bolt za Bajaji, boda boda au gari mara chache kuliko kwenda kununua kiwanja cha milioni 1 au mbili mbali na mji ili ajenge nyumba nzuri na eneo kubwa kwa afya yake na familia yake hizi ni fikra za kiumaskini.
Vijana, wanaume, mabinti wanawake nunueni magari kisha mkajenge nje ya mji utaenjoy sana hakuna sehemu utaiona mbali mchawi GARI tu, Mimi naenda zangu.