Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuwapangia watu maisha na hesabu zako za kishamba.Hadi kanunua gari unajuwa pesa katoa wapi.Watu wa mkoani bana.Mafuta go and return (15000 had 20000 X 20 za kaz 300,000 had 400,000 , mshahara 800,000 had 900,0000 bado makato ya mkopo WA gari na bodi ya mkopo) n.k
Mkuu gari ni zuri sana kuna watu walimilk mwanzon wakaon kila ktu kina wezekan kama wew ngoja Tukupe 3 - 6 months uje utupe good way of useful of car rather than huo mzuka
[emoji1783][emoji849][emoji613] Mimi nasubr second chance ya kununua hybrid care ,
Hiyo ni experience yangu towards kipato cha mtuAcha kuwapangia watu maisha na hesabu zako za kishamba.Hadi kanunua gari unajuwa pesa katoa wapi.Watu wa mkoani bana.
Eti Ujerumani mtu kaongelea dar unaleta habari za Ujerumani mkuu we kaa Bariadi utumie zako baiskeliHiyo ni experience yangu towards kipato cha mtu
Inakomaa kuwek mafuta then unashnd njaa
Ujeruman wanatumia baiskeli wale wapo kijijin kwenu
Mkuu Mimi co wa mkoan
ILA karbu jijini
Mkuu nazn bado emotion zinakuuendesha stay focusEti Ujerumani mtu kaongelea dar unaleta habari za Ujerumani mkuu we kaa Bariadi utumie zako baiskeli
mUkuu wang kwann huwa una makasiriko muda wote humu jeiefuu?Mtumishi yoyote anae pokea mshahara chini ya 1m take home na iko btn 25 to 45yrs akaendelea kununua gari na kuitumia kila siku is economically foolish.... ni limbukeni kama mleta mada
Hahaha...Shikamoo mkuu wangu.Bado mgeni na gari na kahela ka mkopo bado kapo ngoja kakate, kutoka Morocco kwenda Magomeni utapanda Boda.
Nimekaa paleee[emoji1314][emoji1314][emoji1314][emoji1314]
Masikhara haya mkuu, Uko jf na hauna ndinga....... aaaah hii sio kweli!Tutanunua mkuu....
Wewe ndo unamakasiriko mbona mimi niko fresh tu ni njia ya kufikisha ujumbe kama umekugusa pole sina nia mbaya mkuu.mUkuu wang kwann huwa una makasiriko muda wote humu jeiefuu?
Wewe ndo unamakasiriko mbona mimi niko fresh tu ni njia ya kufikisha ujumbe kama umekugusa pole sina nia mbaya mkuu.mUkuu wang kwann huwa una makasiriko muda wote humu jeiefuu?
Hata terrios kid mkuu?Mtumishi yoyote anae pokea mshahara chini ya 1m take home na iko btn 25 to 45yrs akaendelea kununua gari na kuitumia kila siku is economically foolish.... ni limbukeni kama mleta mada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata terrios kid mkuu?