Shida sio kumiliki gari, shida inaanzia mtu kumiliki gari ambalo haliwez kulihudumia. Tuchukulie paso ingine ya 1kr cc 990, mtu atakae shindwa kulihudumia hili gari bac tena hata pikpik hatoiweza achukue baiskeli. Sasa utakuta mtu anajitwisha gari za engene kubwa alaf uchumi mdogo, service tu lita sita yaaan mara mbili ya passo ukija kwenye vipuli vimechangamka kidogo, stealing rack ya crown 350,000 wakat ya passo ni 120,000 utakuta mtu anachukia gari anaanza kuponda wanao miliki mandinga akat kosa lake ni kumiliki gari nje ya uwezo wake