Ukiwa na hii skills ni ngumu kukosa kazi au michongo .

Multaza Hr

Member
Joined
Jan 10, 2025
Posts
83
Reaction score
182
Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills"

Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills .

Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K sio ajabu ukawa unazitafuta Kwa tochi na haupati.

Vijana wengi hii kitu imewakosesha Sana fursa.

Tazama mwandiko wako umekaaje !

Tazama usikivu wako dhidi ya watu.

Tazama ongea yako dhidi ya watu , na utajifunza kitu .
 
Mkuu Multaza Hr unatoa ushauri gani Mkuu.. tusaidie hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom