Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
NakaziaHebu piga picha wallet yako tuione hapa??
Mia tanoMaisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano.
Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga.
Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet sijihangaishi na hisia za mademu kwenye anga za harakati.
Je vipi kuhusu nyie mabaharia wenzangu?
kiroho safi tupo nchi ya Lamama wetu.
Wadiz
HeheheAfu tatu
😜Hehehe
Nikiambiwa Sina salio natoa elfu5 ya vocha namchana kuishi sio shida ni maishaMwanaume halisi inafaa Utongoze tu hayo mambo ya Hela na Matunzo ndo yatafata Mbeleni
[emoji419] [emoji375]It is all about Confidence,, tulianza kuwa na wanwake kabla hatujaanz kuwa na hela,, hizo mentality ndio zinawafanya kila siku myaone mapenzi mateso.Tuna tafuta hela kwa ajili ya kutunza familia zetu na kuish maisha bora sio kupita tunatongoza wanawake. Mkiambiwa nyinyi washamba hua mnamaind!!!!!
Mshamba kawaida yake kulima mashamba ni hamna shidaIt is all about Confidence,, tulianza kuwa na wanwake kabla hatujaanz kuwa na hela,, hizo mentality ndio zinawafanya kila siku myaone mapenzi mateso.Tuna tafuta hela kwa ajili ya kutunza familia zetu na kuish maisha bora sio kupita tunatongoza wanawake. Mkiambiwa nyinyi washamba hua mnamaind!!!!!
Yah Kabisa mzee kikubwa uweze kumaster Hiyo Pesa nakwambia haitooomba Hela yaani Kuna Vitu unatakiwa uongee pisi itakuwa Ngumu kukupiga kizinga labda ukae kishamba Tu.It is all about Confidence,, tulianza kuwa na wanwake kabla hatujaanz kuwa na hela,, hizo mentality ndio zinawafanya kila siku myaone mapenzi mateso.Tuna tafuta hela kwa ajili ya kutunza familia zetu na kuish maisha bora sio kupita tunatongoza wanawake. Mkiambiwa nyinyi washamba hua mnamaind!!!!!
Sitembei na pesa ,, mfukoni haizidigi 30k sa nyingine 20kMaisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano.
Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga.
Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet sijihangaishi na hisia za mademu kwenye anga za harakati.
Je vipi kuhusu nyie mabaharia wenzangu?
kiroho safi tupo nchi ya Lamama wetu.
Wadiz
Safi milionnareSitembei na pesa ,, mfukoni haizidigi 30k sa nyingine 20k
Naweza omba namba mtu yoyote sababu kwa acc Nina milion 224 hivo siwazi